MBUNGE BUPE MWAKANG'ATA AIPIGA TAFU SHULE YA MSINGI KIGOZILE

SHARE:

  Mbunge viti maalumu mkoa wa Rukwa, Bupe Mwakang'ata kupitia chama cha mapinduzi (CCM) akiwa na mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Iringa...

 Mbunge viti maalumu mkoa wa Rukwa, Bupe Mwakang'ata kupitia chama cha mapinduzi (CCM) akiwa na mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Iringa kupitia chama cha mapinduzi (CCM) Ritta Kabati wakati wa kukabidhi mifuko ya saruji
Mbunge viti maalumu mkoa wa Rukwa, Bupe Mwakang'ata kupitia chama cha mapinduzi (CCM) akiwa na mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Iringa kupitia chama cha mapinduzi (CCM) Ritta Kabati akimkabidhi kiasi cha shilingi laki mbili kwa ajili ya kuongezea kununua mifuko ya saruji kwa ajili ya kukarabati shule ya kigonzile
 

                                                                                   Na Fredy Mgunda,Iringa

Mbunge viti maalumu mkoa wa Rukwa, Bupe Mwakang'ata kupitia chama cha mapinduzi (CCM) ameipiga jeki shule ya msingi Kigonzile iliyopo kata ya Nduli mkoani iringa kwa kuipatia mifuko zaidi ya ishirini ya saruji kwa lengo la kusaidia ukarabati wa shule hiyo akiwa na lengo la kumuunga mkono mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Iringa kupitia chama cha mapinduzi (CCM) Ritta Kabati katika juhudi za kuleta maendeleo ya mkoa wa Iringa.
 

Akizungumza wakati wa kukabidhi saruji hiyo Mwakang'ata alisema kuwa ameamua kumuunga mkono mbunge huyo kwa kuwa ni mpenda maendeleo na mchapa kazi.
 

“Mimi napenda kufanya kazi za kimaendeleo hasa za kijamii ndio maana kabati aliponiambia kuwa anakuja kufanya maendeleo ya ukarabati wa shule ya msingi kigozile nilikubali haraka kwa kuwa na napenda kufanya maendeleo” alisema Mwakang'ata
 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli ametutuma kufanya kazi kwa wananchi wakawaida kwa kuwa wao ndio wanamahitaji mengi kuliko watu wa kipato cha kati na cha juu hivyo hata mimi nimeamua kufanya kazi za kwasaidia kuleta maendeleo wananchi wengi wa chini.
 

Aidha Mwakang'ata aliwaomba wananchi na viongozi wa kufanya kazi kwa kujituma ili kwenda sambamba na kasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Magufuli na kuomba jamii kufanya kazi za kujitolea zaidi kuliko kusubili serikali kuleta maendeleo.
 

“Mkiwa mnajitolea kama hii leo naamini tukiwa na wananchi na viongozi wengi basi nchi hii itapata maendeleo ya haraka na kwa kasi kutokana na wananchi kufanya kazi kwa nguvu na moyo wa kuinua uchumi” alisema Mwakang'ata
 

Mwakang'ata aliongeza kuwa shule nyingi za hapa nchi zilijengwa miaka mingi iliyopita hivyo nyingi zimechakaa kutokana na kutokarabatiwa kwa wakati hivyo nawaomba viongozi wengi kuwa wabunifu wakati wa kutafuta pesa nyingi za kusaidia kukarabati miundombinu ya shule na maeneo mbalimbali ilimradi kukuza uchumi na kutoa elimu bora.
 

“Hichi nilichokitoa hii leo ni kidogo sana ila nimefurahishwa na kujituma kwenu katika swala nzima la kusaidia ukarabati wa shule hii ya kigonzile ambayo ilikuwa katika mazingira ya kufungwa kutokana na uchakavu wake” alisema Mwakang'ata
 

Mwakang'ata namkaribisha pia mbunge Ritta kabati kuja Rukwa pia aje asaidie maendeleo kwa kuwa naye ni mpenda maendeleo na wananchi wa Rukwa wanapenda maendeleo na ninahakika watampokea kutokana na uchapakazi wake.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: MBUNGE BUPE MWAKANG'ATA AIPIGA TAFU SHULE YA MSINGI KIGOZILE
MBUNGE BUPE MWAKANG'ATA AIPIGA TAFU SHULE YA MSINGI KIGOZILE
https://3.bp.blogspot.com/-SgdKDiDrYLU/WOtWABdwWsI/AAAAAAAADGc/wjVHoZn5mKQBcZfwr5xTYxAK08H-1JEbwCLcB/s640/IMG_20170408_130559.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-SgdKDiDrYLU/WOtWABdwWsI/AAAAAAAADGc/wjVHoZn5mKQBcZfwr5xTYxAK08H-1JEbwCLcB/s72-c/IMG_20170408_130559.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/04/mbunge-bupe-mwakangata-aipiga-tafu.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/04/mbunge-bupe-mwakangata-aipiga-tafu.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy