MBUNGE HALIMA MDEE AMJIBU ASKOFU GWAJIMA KUHUSU KUMTUKANA SPIKA WA BUNGE

Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima jana alijitokeza hadharani mbele ya waumini wa kanisa lake na kumtaka Mbunge wa Kawe, Halima Mdee kumuomba radhi Spika wa Bunge, Job Ndugai kwa madai kuwa alimtukana katika moja ya vikao vya bunge mjini Dodoma.
Askofu Gwajima alisema, kama mbunge huyo hatofanya hivyo, basi ataitumia Jumapili Ijayo ‘kumchapa’ hadharani kwani kwake yeye haijalishi ni nani na anatokea wapi, lakini akikosea atamchapa.
 Kufuatia kauli hiyo, Halima Mdee amejitokeza hadharani na kumjibu Gwajima kupitia akaunti yake ya Twitter ambapo ameandika;
Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Dr. Josephat Gwajima jana  alijitokeza hadharani mbele ya waumini wa kanisa lake na kumtaka Halima Mdee Mbunge wa CHADEMA kumuomba radhi Spika wa Bunge Job Ndugai kwa maelezo kuwa alimtukana. Gwajima alisema, kama hatafanya hivyo, basi ataitumia Jumapili Ijayo ‘kumchapa’ Hadharani
 Kutokana na madai hayo, Halima Mdee amejitokeza hadharani na kumjibu Gwajima
“Namuheshimu sana Mch. Gwajima,sitajibizana nae kwenye mitandao. Niweke rekodi sawa sijamtukana na wala sitarajii kumkosea heshima Spika.”
 
“Hayo ya J2 namwachia yeye! Yangu na yaliyojiri Bungeni.. Najua jinsi ya kuyahandle. Yawezekana yalishamalizwa kabla ya Ibada yake LEO.”
Namuheshimu sana Mch.Gwajima,sitajibizana nae kwenye mitandao. Niweke rekodi sawa sijamtukana na wala sitarajii kumkosea heshima Spika. https://twitter.com/mitandaonblog/status/851079630094299136 
Hayo ya J2 namwachia yeye! Yangu na yaliyojiri Bungeni.. Najua jinsi ya kuyahandle. Yawezekana yalishamalizwa kabla ya Ibada yake LEO. https://twitter.com/mitandaonblog/status/851079630094299136 

Mwishoni mwa juma lililopita, Mbunge Halima Mdee alifikishwa mbele ya Kamati ya Bunge ya Maadili, Kinga na Madaraka akituhumiwa kumtukana Spika wa Bunge. Mbali na Mdee, pia Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe alihojiwa na kamati hiyo akituhumiwa kulitukana bunge.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post