MBUNGE WA CHADEMA AFARIKI DUNIA

Dar es Salaam. Mbunge wa Viti Maalum, Chadema Dk Elly Macha amefariki dunia leo nchini Uingereza.
Taarifa iliyotolewa na Kitengo cha Habari, Elimu na Mawasiliano cha bunge, imesema kuwa Dk Macha alifariki akipata matibabu katka hospitali ya New Cross, Wolverhamton.
Dk Macha alikuwa akiwakilisha watu wenye ulemavu bungeni kupitia Chadema.
 Bunge limeahirisha vikao vya kamati vilivyokuwa vikiendelea leo hadi hapo kesho Aprili Mosi.
Tutaendelea kuwajuza zaidi kuhusu taarifa za kifo hiki. 
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post