MILIPUKO YA MABOMU YAHAIRISHA MCHEZO WA DORTMUND NA MONACO

Mchezo wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baina ya Borussia Dortmund na Monaco umelazimika kuharishwa jana usiku baada ya kutokea milipuko mitatu karibu ya basi la timu ya Dortmund.

Kufuatia tukio hilo beki wa Dortmund, Marc Bartra, anahitaji upasuaji baada ya kuvunjika mfupo wa kiwiko pamoja na kuchomwa na vigae vya dirisha la basi.

Tukio hilo limetokea wakati timu ya Dortmund ikitoka hotelini kuelekea katika mchezo wao huo wa kwanza wa robo fainali dhidi ya Monaco. Polisi wamesema upo uwezekano kuwa tukio hilo ni la kigaidi.
Wachezaji wa Borussia Dortmund wakipiga simu huku wengine wakiongea baada ya kutokea tukio hilo

                                    Polisi wakiwa na baadhi ya wachezaji wa Borussia Dortmund
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post