MREMA: NAMTAKA MBATIA ATIMIZE AHADI YAKE, LA SIVYO NITAVUA NGUO

Mwenyekiti wa Bodi ya Parole, Augustino Mrema  amemtaka Mbunge wa Vunjo, James Mbatia (NCCR-Mageuzi) atimize ahadi yake ya kumpelekea mfuko wa sukari kilo 50 kila mwezi pamoja na majani kama alivyoahidi kwenye kampeni zake mwaka 2015.
Mrema amsema kuwa, Mbatia alitoa ahadi hiyo wakati wa kampeni aliposema yeye ni mgonjwa hivyo asataafu siasa na kama ni fedha ya sukari atakuwa anamletea kilo 50 kila mwezi nyumbani kwake.
Lakini tangu Mbatia amekuwa mbunge hajawahi kuja kuniona na wala kutekeleza ahadi yake ya kuleta sukari, alisema Mrema.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post