MTU MZEE KULIKO WAZEE WOTE DUNIANI AFARIKI DUNIA NCHINI ITALIA

Mtu mzee kuliko wote duniani amefariki dunia nchini Italia akiwa na umri wa miaka 117.

Kikongwe huyo Emma Morano alizaliwa Novemba 29 mwaka 1899 katika mkoa wa Piedmont nchini Italia.

Morano alikuwa ndiye mtu pekee aliyezaliwa katika miaka ya 1800 ambaye alikuwa amebakia hai duniani.

Kibibi Morano alisema kuwa kuishi kwake miaka mingi kunatokana na jini zake pamoja na mlo wa mayai matatu kwa siku ambapo mawili huyala bila ya kupika.
         Emma Morano akisherehekea kutimiza miaka 117 kwa kupuliza mishumaa kwenye keki
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post