MUNICH MBIONI KUMSAJILI PAULINHO

Klabu ya Bayern Munich wamefanya mazungumzo na kiungo wa Guangzhou Evergrande, Paulinho kuhusu uhamisho wa majira ya joto kwa mujibu wa RMC.

Mbrazili ambaye amekuwa katika kiwango cha hali ya juu na Carlo Ancelotti anatamani kumpata mchezaji huyo wa zamani wa Tottenham.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post