MUSIC: JUX – UMENIKAMATA (LISTEN/DOWNLOAD)

Baada ya Juu ambayo alifanya na mwanadada Vanessa Mdee, mkali wa RnB Bongo Flevani Juma Jux amedropisha goma jipya ambalo amelipachika jina la Umenikamata.

A.M Records ndio studio ambayo imehusika katika usukaji wa ngoma hii chini ya mtu mzima Bob Manecky. Ngoma iko exclusive Mkitoni, unachotakiwa kufanya ni kubonyeza hapa chini.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post