MWANA FA: HAKUNA UBINGWA MZURI KAMA MNAOUCHUKUA HUKU GONGOWAZI WAMENUNA

Baada ya kamati ya masaa 72 kuamua kuipa klabu ya simba pointi tatu na magoli matatu kwa kujiridhisha kuhusu klabu ya Kagera Sugar kumtumia mchezaji wao Mohamed Fakhi akiwa na kadi tatu za njano, MwanaFA aamuaa kufunguka ya kwake kwa watani wake Yanga.
Nyota wa muziki wa Bongo fleva hapa nchini anaytemba na ngoma yake ya Dume Suruali, aamua kutumia kurasa yake ya Twitter kuongelea sakata la simba kupewa pointi tatu na kamati ya saa 72, alifunguka kwamba “Tushapewa points 3 zetu…hakuna ubingwa mzuri kama mnaouchukua huku gongowazi wamenuna na wanafoka kama mlevi aliyekoswa na kundi la wezi,”
Tushapewa points 3 zetu..hakuna ubingwa mzuri kama mnaouchukua huku gongowazi wamenuna na wanafoka kama mlevi aliyekoswa na kundi la wezi 🤣😂

Pointi hizo tatu zinawasogeza simba hadi pointi 61 na kuwaweka Wekundu hao wa msimbazi katika nafasi nzuri ya taji la ubingwa wa VPL msimu huu.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post