MWANARIADHA JEMIMA SUMGONG ABAINIKA KUTUMIA DAWA ZILIZOPIGWA MARUFUKU

Bingwa wa Olimpiki na mbio za marathoni za London Mkenya Jemima Sumgong amekuwa manariadha wa Kenya wa hivi karibuni kubainika kutumia dawa za kusisimua misuli.

Mwanariadha huyo mwenye miaka 32 amebainika kutumia dawa iliyopigwa marufuku michezoni ya EPO, vipimo vya akiwa kwenye mashindano na nje ya mashindani vya bodi ya IAAF vimeonyesha


Mkenya Sumgong ni mwanariadha wa kwanza wa kike Kenya kushinda medali ya dhahabu katika mbio za Olimpiki, na alikuwa anatarajiwa kutetea taji lake la mbio za marathoni za London Aprili 23.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post