MWANAUME MMOJA AKAMATWA KWA SHAMBULIZI LA KUTUMIA LORI

Mwanaume mmoja amekamatwa Jijini Stockholm baada ya tukio la dereva mwenye lori kuwagonga watu na kusababisha vifo.

Mwanaume huyo alikamatwa kaskazini mwa jiji hilo, hajatajwa jina lake lakini vyombo vya habari vya Sweden vinasema mtu huyo anatokea Uzbekistan.

Watu wanne walikufa na wengine 15 kujeruhiwa baada ya lori kugonga mbele ya duka.

Waziri Mkuu wa Sweden Stefan Lofven ameliita tukio hilo kuwa ni la shambulizi la kigaidi, huku ulinzi wa mipaka ya nchi hiyo ukiimarishwa.
                             Mtuhumiwa wa tukio la shmbulizi la lori akikamatwa na polisi 
           Mmoja wa wahudumu wa afya akikatiza kwenye miili ya watu waliokufa
                   Lori lililogonga na kuuwa watu likiondolewa katika eneo la tukio
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post