MWENDESHA BAISKELI MUITALIANO MICHELE SCARPONI AFARIKI DUNIA

Mwendesha baiskeli Muitaliano Michele Scarponi amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 37 baada ya kugongwa na gari akifanya mazoezi na baskeli yake.

Taarifa iliyotolewa na timu yake ya Astana imesema ajali hiyo imetokea karibu na nyumba ya Scarponi iliyupo huko Filottrano, Italia.

Scarponi aliwahi shinda mbio za Giro d'Italia mwaka 2011 baada ya mwendesha basikeli Alberto Contador kunyang'anywa taji, pia alishinda mbio za Tour of the Alps jumatatu.

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post