NAPE NNAUYE: NIKISEMA UKWELI NILIOSHUHUDIA NAONEKANA MKOROFI

SHARE:

Mbunge wa jimbo la Mtama mkoani Lindi kupitia tiketi ya CCM, Nape Moses Nnauye ametoa ya moyoni kwa kusema kila akiyakumbua maisha aliyoya...

Mbunge wa jimbo la Mtama mkoani Lindi kupitia tiketi ya CCM, Nape Moses Nnauye ametoa ya moyoni kwa kusema kila akiyakumbua maisha aliyoyashuhudia wakati akizunguka mikoa mbalimbali kwa miezi 38 ndiyo yanamfanya aonekane mkorofi kila mara anapoyakumbushia.

Nape ameyasema hayo kupitia yale aliyoyaandika kwenye ukurasa wake rasmi wa Twitter kuwa akikukumbuka maisha magumu aliyowaona wananchi wakiishi anaonekana ni mkorofi mara zote akikumbushia. Kupitia Twitter, aliandika, “Niliyashuhudia maisha haya mikoani(38months),nadhani ndio nikiyakumbuka naonekana mkorofi!!Iko haja kama Taifa kuangalia vipaumbele vyetu!”
Niliyashuhudia maisha haya mikoani(38months),nadhani ndio nikiyakumbuka naonekana mkorofi!!Iko haja kama Taifa kuangalia vipaumbele vyetu!
Kauli ya Nape kuwa taifa liangalie upya vipaumbele vyake inaweza kutafsiri kuwa kutazama picha hiyo kuwa wananchi wana shida ya maji safi na salama, huduma za afya na vitu vingine muhimu zaidi kwa maisha yao.
Lakini pia Nape alichapisha picha nyingine ambayo inakumbushia kipindi cha miezi 38 alichozunguka nchi nzima kuipigia debe CCM huku akimpongeza Katibu Mkuu wa Chama CCM, Abdulrahman Kinana kwa kazi kubwa na ngumu aliyofanya.
View image on TwitterView image on Twitter
Haya ndio yalikuwa maisha kwa miezi karibu 38! Big up Cde Kinana
Baadhi ya watu wamemkosoa kiongozi huyo sababu anaonekana analalamika kwa vile alivuliwa uwaziri na kuwa ndiyo sababu ya kueleza haya yote.  Lakini yeye amekanusha hayo na kusema kuwa hajaanza kuyashughulikia, au kuyazungumzia mambo haya mara tu alipoenguliwa kwenye uwaziri.
@Nnauye_Nape tuwache unafiki' ulipokuwa waziri CCM oyee' leo unaongea mbovu" ndomaana sipendi kusikia about siasa'
@kbesta4 hivi ni kweli nimeanza kuya adress leo? Aliyesema mawaziri mizigo nchi hii nani? Ukitumwa tumia akili kidogo basi ikusaidie
Lakini pia watumiaji wengine wa mitandao wamemtaka Nape kupeleka matatizo hayo bungeni badala ya kuyaandika kwenye mitandao ya kijamii kwani si sehemu sahihi ya kuelezea matatizo hayo.
Niliyashuhudia maisha haya mikoani(38months),nadhani ndio nikiyakumbuka naonekana mkorofi!!Iko haja kama Taifa kuangalia vipaumbele vyetu! pic.twitter.com/jswCVTk4QG
Mhe @Nnauye_Nape tunashukuru umekiri kwamba wananchi wanakosa mambo ya msingi, tunahitaji utoe hoja hizi bungeni ili utetee wanyonge.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: NAPE NNAUYE: NIKISEMA UKWELI NILIOSHUHUDIA NAONEKANA MKOROFI
NAPE NNAUYE: NIKISEMA UKWELI NILIOSHUHUDIA NAONEKANA MKOROFI
https://2.bp.blogspot.com/-VQETNHi0H34/WPUEO_KU_vI/AAAAAAAAZpc/9AbMleeu4GUOBZlw9ooE73KYWoIcztwgQCLcB/s1600/xWhatsApp-Image-2017-04-08-at-10.28.50-PM-1-750x375.jpeg.pagespeed.ic.FWCf0s7_y5.webp
https://2.bp.blogspot.com/-VQETNHi0H34/WPUEO_KU_vI/AAAAAAAAZpc/9AbMleeu4GUOBZlw9ooE73KYWoIcztwgQCLcB/s72-c/xWhatsApp-Image-2017-04-08-at-10.28.50-PM-1-750x375.jpeg.pagespeed.ic.FWCf0s7_y5.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/04/nape-nnauye-nikisema-ukweli.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/04/nape-nnauye-nikisema-ukweli.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy