NEW AUDIO : DIAMOND PLATNUMZ | ACHA NIKAE KIMYA (LISTEN/DOWNLOAD)

Mwanamuziki Nasib Abdul maarufu Diamond Platnumz jana aliachia wimbo wake mpya unaoelezea hali ya matukio mbalimbali yanayotokea sasa nchini Tanzania.
Wimbo huo wa Diamond Platnumz unaoitwa Acha Nikae Kimya umetaja matukio mbalimbali kama vile vyeti vya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, kukamatwa kwa Roma na Wasanii wengine, yaliyomkuta Nay wa Mitego. SIKILIZA HAPA CHINI

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post