NEY WA MITEGO AVUTANA NA ‘ASKARI’ KANZU ALIYEKUWA ANAMREKODI

SHARE:

Rapa Ney wa Mitego Jana alijikuta katika mvutano na mtu anayesadikika kuwa ni Askari Kanzu baada ya kumpiga picha za Video yeye na gari l...

Rapa Ney wa Mitego Jana alijikuta katika mvutano na mtu anayesadikika kuwa ni Askari Kanzu baada ya kumpiga picha za Video yeye na gari lake bila idhini yake katika kituo cha polisi cha Osterbay Jijini Dar es salaam.
Tukio hilo liliibuka wakati Ney akiwa ni miongoni mwa watu waliofika katika kituo hicho kusubiri hatma ya msanii Roma Mkatoliki na wenzake waliokuwa wakihojiwa kufuatia tukio la kutekwa kwao na kupatikana.
Zote kali blog ilishuhudia tukio hilo la mvutano, ambapo Ney alimng’ang’ania mtu huyo aliyekuwa anamrekodi yeye na gari lake, ambapo mvutano huo ulishuhudiwa pia na waandishi wa habari wengine waliokuwa wametanda katika eneo hilo na ulimalizika baada ya mtu huyo anaesadikika kuwa ni askari kukubali kufuta picha zote alizochukua.
Katika hatua nyingine, Ney alieleza kuwa hakuweza kula kwa siku mbili tangu alipopata taarifa za kutekwa kwa Roma na wenzake hadi alipopata taarifa za uhakika jana kuwa wamepatikana.
Baada ya tukio hilo Mama mzazi wa msanii Moni ambaye ni miongoni mwa waliotekwa na kupatikana, Fatma Saleh Awadhi alisema kuwa amesikitishwa sana na kitendo alichofanyiwa mwanae na kuongeza kuwa hataki tena mwanae afanye muziki.
Hata hivyo, Roma alizungumza na waandishi wa habari na kueleza kuwa wako salama kiafya na kuahidi kuelezea tukio hilo kiundani zaidi siku ya jumatatu

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: NEY WA MITEGO AVUTANA NA ‘ASKARI’ KANZU ALIYEKUWA ANAMREKODI
NEY WA MITEGO AVUTANA NA ‘ASKARI’ KANZU ALIYEKUWA ANAMREKODI
https://3.bp.blogspot.com/-ktc2LQaIWt8/WOptuUsnbLI/AAAAAAAAZQg/tISP1I7qagkYdzRfU8Odr5nn9OxVy1viwCLcB/s1600/Nay-wa-Mitego.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-ktc2LQaIWt8/WOptuUsnbLI/AAAAAAAAZQg/tISP1I7qagkYdzRfU8Odr5nn9OxVy1viwCLcB/s72-c/Nay-wa-Mitego.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/04/ney-wa-mitego-avutana-na-askari-kanzu.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/04/ney-wa-mitego-avutana-na-askari-kanzu.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy