N'GOLO KANTE ACHAGULIWA KUWA MCHEZAJI BORA WA MWAKA

Kiungo N'Golo Kante amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwaka na Chama cha Wachezaji Wakulipwa Uingereza.

Kiungo huyo asiyechoka dimbani, amekuwa ni muhimili muhimu wa Chelsea katika kuongoza Ligi Kuu ya Uingereza.

Mfaransa huyo mwenye umri wa miaka 26, alinunuliwa kutoka Leicester City Julai kwa kitita cha paundi paundi milioni 32, anaelekea kutwaa tena kombe la ligi hiyo.


JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post