OFFICIALVIDEO: YOUNG KILLER, BILLNASS & STAMINA – AJE MWENYEWE

Audio iliachiwa rasmi siku ya jana April 12 kwenye XXL ya Clouds FM na Billnass kuweza kutusanua kwamba muda sio mrefu tutakishuhudia kichupa.
Hatimaye the wait is over. chupa limeachiwa la ngoma mpya ya vichwa vikali vitatu vinavyofanya poa kwenye game ya music, ni Young KillerStamina pamoja na Bill Nass. ngoma inaitwa Aje Mwenyewe. Enjoy
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

SHARE THIS

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post