PICHA 19 BORA ZILIZOTWAA TUZO AMBAZO ZIMEPIGWA KWA ‘DRONES’

Mashindano ya picha bora kwa mwaka 2016 maarufu kama  2016 SkyPixel Photo Contest imezitambua picha bora zaidi zilizopigwa kwa kutumia ndege zisizo na rubani (drones) maeneo mbalimbali duniani.
Kwa kushirikiana na kampuni ya teknoloji ya China DJI na mashirika mengine ya picha, SkyPixel iliendesha mashindano hayo kwa miezi miwili na kupokea picha zaidi ya 27,000 kutoka nchi 131 duniani kote.
Jopo la majaji liliundwa na wapiga picha kutoka TIME na  Condé Nast Traveler. Picha zilizoshinda zilishika nafasi ya kwanza, pili au ya tatu katika makundi ya Uzuri, 360 na zilizopigwa kwa ndege zisizo na rubani.
Lakini pia walitoa tuzo kwa picha maarufu zaidi ambayo ilipendwa na wengi (likes) katika mtandao wa SkyPixel.
Picha bora ya mwaka ilikwenda kwa Ge Zheng kutoka Jimbo Fujain nchini China.
Hapa chini ni picha 19 bora zaidi zilizoshinda tuzo mbalimbali kwa mwaka 2016.
Picha Bora ya mwaka 2016.


JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post