PICHA 6: GARI LA KIFAHARI LA MCHEZAJI MBWANA SAMATTA ANALOTUMIA UBELGIJI

Mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta ni kielelezo tosha kuwa ukijituma bila kukata tamaa basi utaweza kufanikiwa na kuyafikia malengo yako.
Mbwana Samatta anayekipiga katika klabu ya Genk ya nchini Ubelgiji amekuwa akifanya vizuri tangu alipowasili klabuni hapo akitokea TP Mazembe ya nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).
Mbali ya kuweka rekodi kwa kuwa Mtanzania wa kwanza kukipiga katika ligi kuu ya nchi za barani Ulaya, Samatta pia ameweka rekodi ya kushiriki michuano mikubwa kama Europa League ambapo hadi Aprili 6 mwaka huu alikuwa ameifungia timu yake ya Genk magoli 6 katika michezo mitano ya mwisho aliyocheza.
Mbali na mafanikio yake anayoyapata uwanjani, Samatta ameanza kupata mafanikio pia nje ya uwanja. Hapa maechapisha picha za gari lake la kifaharani ambalo ndilo analitumia nchini Ubelgiji.
5678910

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post