PICHA: MATUKIO MBALIMBALI YALIYOJIRI BUNGENI LEO

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akimuapisha Mhe. Dkt Getrude Rwakatare kuwa Mbunge.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akimkabidhi Mhe. Dkt Getrude Rwakatare vifaa vya kazi mara baada ya kumuapisha kuwa Mbunge leo Aprili 20, 2017 Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao cha kumi cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 20, 2017.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akijibu maswali ya wabunge katika kikao cha kumi cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 20, 2017.
Naibu Waziri wa Afya maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Dkt Hamisi Kigwangalla akijibu maswali ya wabunge katika kikao cha kumi cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 20, 2017.
Mbunge wa Kuteuliwa Mhe. Salma Kikwete akiuliza swali katika kikao cha tisa cha Mkutano wa kumi wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 20, 2017.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Suzan Kolimba akijibu maswali ya wabunge mbalimbali katika kikao cha kumi cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 20,2017.
Mbunge wa Mafinga Mjini (CCM) Mhe Cosata David Chumi akiuliza swali katika kikao cha kumi cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 20, 2017
Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Mhe. Stella Manyanya akijibu maswali ya wabunge mbalimbali katika kikao cha kumi cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 20,2017.
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Isack Kamwele akijibu maswali ya wabunge mbalimbali katika kikao cha kumi cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 20,2017.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt Ashatu Kijaji akijibu maswali ya wabunge mbalimbali katika kikao cha kumi cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 20, 2017.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akimsikiliza Mbunge wa Igunga Mhe. Dalali Kafumo wakati wakijadiliana jambo katika kikao cha kumi cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 20, 2017.
Wabunge wakifuatilia hoja mbalimbali katika kikao cha kumi cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 20, 2017. Picha na Raymond Mushumbusi Dodoma MAELEZO.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post