PICHA: MWALIMU ANAYEFUNDISHA AKIWA AMELALA APATIWA MSAADA NA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI

SHARE:

Hospitali ya Taifa Muhimbili imetoa msaada wa baiskeli na matibabu kwa Mwalimu Joyce Kantande ambaye alipata ulemavu kutokana na ajali al...

Hospitali ya Taifa Muhimbili imetoa msaada wa baiskeli na matibabu kwa Mwalimu Joyce Kantande ambaye alipata ulemavu kutokana na ajali aliyoipata akiwa na umri wa miaka saba.
Joyce alipata ulemavu wa mgongo baada ya kupata ajali wakati akiwa na umri wa miaka 7 na hivyo kushindwa kuendelea na shughuli zake za kawaida.
Akizungumza wakati wa kukabidhi msaada huo kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi na Ukunga, Agnes Mtawa amesema wameguswa na tatizo la Joyce na hivyo uongozi wa hospitali umeamua kumpatia baiskeli hiyo ili kumwezesha kufanya shughuli zake akiwa amekaa badala ya kulala kitandani kama alivyokuwa akifanya.
“Tuliona stori yake kwenye gazeti moja na kiukweli tumeguswa na tatizo lake kwani Joyce alikaa miaka 18 akiwa amelala baada ya kupata ajali iliyosababisha apate ulemavu. Kutokana na hali hiyo Mkurugenzi Mtendaji Profesa Lawrence Museru ameona ni vema tukampatia msaada wa baiskeli, lakini pia kama Hospitali tutampatia msaada wa matibabu na tutakua tukimfuata na kumrudisha nyumbani kwa kipindi chote atakachokua akija hospitalini hapa kwa ajili ya matibabu,”  alisema Mtawa.
Kwa upande wake Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Dharura na Ajali, Juma Mfinanga amesema kwa kushirikiana na wataalam wengine wa MNH watamfanyia vipimo mbalimbali ili kujua tiba gani anastahili .
Naye Mkuu wa Idara ya Tiba na Utengamao katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Rosemary Kauzeni amesema watatumia utaalam wao kumsaidia Bi Joyce ili aweze kufanya shughuli zake akiwa amekaa badala ya kulala hususani shughuli zake za kufundisha watoto ambazo huzifanya akiwa amelala .
“Tutatumia utalaam wetu kwa kumpatia tiba ya mazoezi ya viungo ili aweze kukaa wakati anapofanya shughuli zake badala ya kulala na hatimaye aweze kutawala mazingira yake” alisema Rosemary.
Kwa upande wake Bi Joyce ameishukuru Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa msaada alioupata na kuwaomba watu wengine kujitokeza kumsaidia kwani ana mahitaji mengi.
Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Agness Mtawa akizungumza na waandishi wa habari kabla ya kumpatia Joyce Kanitande msaada wa baiskeli na matibabu ambayo yatamwezesha kufanya shughuli zake za kila siku.
Bi. Joyce akiwa amekaa kwenye baiskeli baada ya Hospitali ya Taifa Muhimbili kumpatia msaada huo leo.

Mkuu wa Idara ya Utengamano, Rosemary Kauzeni akiwaeleza waandishi wa habari jinsi Joyce akavyokuwa akipatiwa matibabu yakiwamo mazoezi ambayo yatamsaidia kufanya shughuli zake.

Bi. Joyce akizungumza na waandishi wa habari leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ambako amefikishwa kwa ajili ya kupatiwa matibabu.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: PICHA: MWALIMU ANAYEFUNDISHA AKIWA AMELALA APATIWA MSAADA NA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI
PICHA: MWALIMU ANAYEFUNDISHA AKIWA AMELALA APATIWA MSAADA NA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI
https://3.bp.blogspot.com/-Bf7Hk5QYZpI/WQODiqCphNI/AAAAAAAAaO8/BlLV9uxaSRsHL3aZPbNtrZjIMtmIivcYACLcB/s1600/x0002-750x375.jpg.pagespeed.ic.ImY5ssqm7s.webp
https://3.bp.blogspot.com/-Bf7Hk5QYZpI/WQODiqCphNI/AAAAAAAAaO8/BlLV9uxaSRsHL3aZPbNtrZjIMtmIivcYACLcB/s72-c/x0002-750x375.jpg.pagespeed.ic.ImY5ssqm7s.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/04/picha-mwalimu-anayefundisha-akiwa.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/04/picha-mwalimu-anayefundisha-akiwa.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy