PICHA: UREMBO WA MUAMUZI WASABABISHA WACHEZAJI KUSHINDWA KUCHEZA MPIRA

Brazil ni moja ya nchi zilizobarikiwa na warembo matata. Wiki hii katika mechi iliyochezwa na klabu ya Desire dhidi ya Sporting katika mchezo ambao usio na ligi, lilikuwa kwa mshika kibendera wa kike ambaye alikuwa anachezesha mechi hiyo.
Mrembo Denise Bueno ambaye alishika kibendera katika mchezo huo kama muamuzi namba mbili aliwafanya wachezaji washindwe kucheza mpira na muda mwingi kuchukuliwa wakimshangaa yeye huku mpira unaendelea.
Tukio hilo lilitokea baada ya muamuzi huyo kunywa maji na bahati mbaya yalimwagikia katika nguo yake ya juu aliyoivaa na kusababisha sehemu ya mwili wake kuonekana kiurahisi.
-Bongo5
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post