PICHA: URUSI YAJENGA MELI KUBWA YA KIVITA KUIZIDI MAREKANI

Urusi imetangaza mipango yake ya kujenga meli kubwa  duniani ya kubeba ndege  ‘the world’s biggest aircraft carrier’ itakayoizidi zle za Marekani zijulikanazo kama ‘Nimitz class ships’
Manuwari hizo mpya zitakazojuulikana kama ‘Project 23E000E’ zitagharimu kiasi cha dola za kimarekani bilioni 17.5 kila moja na zinatarajiwa kukamilika mwaka 2030. Ripoti ya ‘state media’ ilieleza.
Manuwari hizo zinatarajiwa kutumia nguvu za nyuklia kujiendesha na zitakuwa na uwezo wa kubeba ndege za kivita 90 kwa wakati mmoja ikiwamo ndege mpya aina ya T-50. Ilieleza ripoti hiyo.
Russia is planning to commission a new class of aircraft carrier, the Shtorm class, which could cost up to $17.5billion each and enter service by 2030
Shtorm carriers would be equipped with nuclear propulsion, have a deck the size of three football fields, and carry up to 90 aircraft including the new T-50
Pamoja na kudaiwa kuwa manuwari hizo zitakuwa kubwa kuliko zile za kimarekani lakini ripoti ya Kremlin imeeleza kuwa zitakuwa na vipimo na uwezo unaolingana.
Professor Vadim Kozyulin ambaye ni mtaalamu wa masuala hayo, alikubali kuwa manuwari hizo zitajengwa kwa kuzingatia muundo wa zile za marekani za ‘USS Gerald R Ford’.
“Kitakuwa ni kiwanja cha ndege kinachoelea huku kikisindikizwa na meli nyingine za kivita” alisema Mr Kozyulin.
Manuwari hiyo mpya itakuwa na ukubwa sawa na viwanja vitatu vya mpira wa miguu.
While Russia claims the craft would be the largest in the world, its current specifications appear to be similar to America's Nimitz-class
Russia currently only has one aircraft carrier at its disposal, the Admiral Kuznetsov, which was built in 1985 and is powered by steam turbines
Urusi kwa sasa ina manuwari ya kubebea ndege za kivita iitwayo ‘the Admiral Kuznetsov’, iliyotengenezwa mwaka 1985 na hutumia injini ya mvuke.
America has 10 Nimitz-class aircraft carriers, which are powered by nuclear reactors and carry 5,000 crew along with 90 aircraft
Manuwari hiyo mpya itakuwa na uwezo wa kurusha ndege tatu za kivita ndani ya dakika moja sawa na ile ya Marekani.
Ndege zitakazobebwa na manuwari hiyo ni pamoja na  MiG-29K jets, aina mpya ya ndege za Sukhoi PAK FA, pamoja na zile za T-50.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post