POLISI NCHINI URUSI WANAMTAFUTA ALIYETEKELEZA SHAMBULIZI LILILOUWA 11

Polisi nchini Urusi wanamtafuta mwanaume mmoja anayeshukiwa kufanya mauaji ya watu 11 kwenye treni huko St Petersburg nchini Urusi, ambaye umri wake unahisiwa kuwa ni miaka 20 mwenye asili ya Asia.

Katika tukio hilo watu wapatao 45 walijeruhiwa kutokana na mlipuko uliotokea baina ya vituo viwili vya treni ya aridhini hapo jana. Mamlaka za St Petersburg imetangaza siku tatu za maombolezo.
                                         Majeruhi akikimbizwa hospitali baada ya kutokea mlipuko 
                                       Majeruhi akiwa amebebwa akiwahishwa kupewa matibabu
                                      Mtu huyu ndio anayetuhumiwa kuhusika na shambulizi hilo 

                        Rais wa Urusi Vladimir Putin akiweka shada la maua kuomboleza waliokufa
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post