POLISI SABA WAUAWA KWA KUPIGWA RISASI WILAYANI KIBITI, PWANI

SHARE:

Askari 7 wa Jeshi la Polisi jana jioni waliuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiofahamika walipokuwa wakilinda doria katika kijijini cha J...

Askari 7 wa Jeshi la Polisi jana jioni waliuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiofahamika walipokuwa wakilinda doria katika kijijini cha Jaribu wilayani Kibiti mkoani Pwani.
Askari hao walishambuliwa na watu wasiojulikana majira ya saa 12 jioni walipokuwa kwenye gari lao wakirejea kituoni Bugu baada ya kumaliza kuweka doria.
Alipotafutwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Onesmo Lyanga alisema kuwa kwa sasa hawezi kuzungumzia tukio hilo kwani ni mapema sana. Aliwasihi waandishi kumuacha kwanza hadi hapo taarifa rasmi itakapoandaliwa ataweza kuujulisha umma kuhusu yale yote yaliyotokea.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba alithibitisha kutokea kwa tukio hilo licha ya kusema kuwa hana taarifa za kutoka juu ya tukio zima hadi hapo atakapowasiliana na Mkuu wa Jeshi la Polisi, Ernest Mangu. Lakini aliahidi kuwa, watu hao watatafutwa popote pale walipo na hatua dhidi yao zitachukuliwa ili kukomesha vitendo hivyo.
Kwa mujibu wa taarifa za awali zinadai kuwa, dereva wa gari la polisi alipigwa risasi na kupoteza uwezo wa kuongoza gari na kisha askari wengine waliokuwapo wakashambuliwa. Askari mmoja aliyejeruhiwa amelazwa katika Hospitali ya Mchukwi.
Hii si mara ya kwanza kwa matukio ya mauaji kutokea wilayani Kibiti, kwani kwa siku za nyuma viongozi wa serikali wamekuwa wakiuawa na watu wasiojulikana jambo ambalo linazidi kuzua hofu kwa wakazi wa eneo hilo.
Tukio la mwisho kutokea wilayani humo lilikuwa ni Machi mwaka huu ambapo Polisi waliwaua watu watatu karibu na Daraja la Mkapa waliokuwa wamevalia baibui wakati ni wanaume huku wakiendesha pikipiki baada ya kukaidi agizo la kusimama.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: POLISI SABA WAUAWA KWA KUPIGWA RISASI WILAYANI KIBITI, PWANI
POLISI SABA WAUAWA KWA KUPIGWA RISASI WILAYANI KIBITI, PWANI
https://2.bp.blogspot.com/-dN0awqT1LAM/WPCSa-kQgZI/AAAAAAAAZdU/Fno3JzNsoNQDtscwU7u-34DJL88tENSwgCLcB/s1600/xDSC02454-750x375.jpg.pagespeed.ic.vuxGIXyXzu.webp
https://2.bp.blogspot.com/-dN0awqT1LAM/WPCSa-kQgZI/AAAAAAAAZdU/Fno3JzNsoNQDtscwU7u-34DJL88tENSwgCLcB/s72-c/xDSC02454-750x375.jpg.pagespeed.ic.vuxGIXyXzu.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/04/polisi-saba-wauawa-kwa-kupigwa-risasi.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/04/polisi-saba-wauawa-kwa-kupigwa-risasi.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy