RAIA WA KENYA (BOSI WA STANBIC) AHITAJIKA TANZANIA KUJIBU TUHUMA ZA RUSHWA

SHARE:

Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) inaisaidia serikali ya Tanzania kumuweka chini ya ulinzi na kumuhoji mkenya anayekabiliwa ...

Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) inaisaidia serikali ya Tanzania kumuweka chini ya ulinzi na kumuhoji mkenya anayekabiliwa na sakata la rushwa ya TZS 13 bilioni.
Serikali ya Rais Joseph Magufuli imeiomba Kenya kuisaidia kumkamata Mr Bashir Awale, afisa wa zamani wa benki, nakuchukua maelezo.
Mwanasheria Mkuu wa Tanzania, George Masaju alimwandikia mwenzake wa Kenya Githu Muigai chini ya Msaada wa Sheria wa Pamoja (MLA), akimtaka ampatie mtu huyo ili atoe ushahidi miaka miwili baada ya kufukuzwa nchini.
Awale anatuhumiwa kwa kutoa fedha ili kuwashawishi maafisa wa serikali kuzipendelea benki mbili wakati Tanzania ilipotangaza dhamana ya kimataifa mwaka 2012.
“Tumepokea ombi la MLA na tunalifanyia kazi kwa ukaribu na ofisi Sheria ya Nchi sambamba na ombi. Timu ya wapelelezi kutoka Tanzania na Kenya imewekwa katika nafasi ya kutekeleza ombi,” Mkurugenzi Mtendaji wa EACC Halakhe Waqo alisema.
Hata hivyo mkurugenzi Mkuu wa EACC, hakutoa maelezo juu ya kalenda ya matukio ya kazi yao na kama ameshamwita mtuhumiwa.
“Itachukua muda. Kwa sasa, hatuwezi kuwapa maelezo yeyote lakini naweza kuwahakikishia itafanyika hivi karibuni.”
Bashir alikamatwa Desemba 2015 na kufukuzwa nchini juu ya madai ya kukaa kinyume cha sheria. Alisemekana kuwa ni miongoni mwa wanachama wa timu ya kampeni za Urais za aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa ambaye alishindwa na Magafuli. Dar es Salam waliitaka Nairobi kumshikilia Bashir na kuchukua maelezo ya ushahidi wa madai ya kauli inayoonyesha kuhusika katika kashfa hiyo.
Watanzania watatu tayari wameshtakiwa kwa makosa saba ikiwa ni pamoja na kujipatia fedha kwa njia zisizo za halali, kughushi, matumizi mabaya ya nafasi, rushwa, na kwa sasa wako mahabusu.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: RAIA WA KENYA (BOSI WA STANBIC) AHITAJIKA TANZANIA KUJIBU TUHUMA ZA RUSHWA
RAIA WA KENYA (BOSI WA STANBIC) AHITAJIKA TANZANIA KUJIBU TUHUMA ZA RUSHWA
https://2.bp.blogspot.com/--E0oqs8yy24/WO0M1YCcUiI/AAAAAAAAZVg/zmNgq0q9JfsuG6Ontugwed75XGyEGYsLwCLcB/s1600/wpid-Bashir-Awale-565x375.jpg
https://2.bp.blogspot.com/--E0oqs8yy24/WO0M1YCcUiI/AAAAAAAAZVg/zmNgq0q9JfsuG6Ontugwed75XGyEGYsLwCLcB/s72-c/wpid-Bashir-Awale-565x375.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/04/raia-wa-kenya-bosi-wa-stanbic-ahitajika.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/04/raia-wa-kenya-bosi-wa-stanbic-ahitajika.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy