RAIS KENYATTA AWAOMBA RADHI WAKENYA KWA KUFUTWA UCHAGUZI WA CHAMA CHA JUBILEE

Rais Uhuru Kenyatta amewaomba radhi wa Kenya kutokana na chama cha Jubilee kujiandaa chini ya kiwango wakati wa kura za mchujo jana na kusababisha kuhairishwa kwa zoezi hilo katika kaunti zote 21.

Akiongea Ikulu, rais Uhuru amesema hakutarajia kujitokeza kwa wapigakura wengi kiasi hicho, waliosababisha kuibuka kwa upungufu wa karatasi za kupigia kura kwenye vituo vya kupigia kura.

Amesema chama cha Jubilee kitaendesha uchaguzi huru na wahaki na kuongeza kuwa yupo tayari kufuata matakwa ya wapigakura katika chaguzi za mchujo wa wagombea wa nafasi mbalimbali katika uchaguzi mkuu.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post