RAIS MUGABE ABADILISHA MTINDO WA NYWELE

Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe kwa mara ya kwanza amepigwa picha akiwa amenyoa nyele zake wakati alipohudhuria mazishi ya mwanajeshi wa zamani.
Watu wengi wanaamini kuwa ni mara ya kwanza kwa Mugabe kunyoa ndevu pamoja na nywele zake.
Picha zilizochapishwa katika mitandao ya kijamii zimevutia maoni kutoka kwa raia wa Zimbabwe huku baadhi yao wakisema kuwa mtindo alionyoa umechangia aonekane kijana.
Lakini hata hivyo wengine wanasema kuwa wameshangazwa na hawajui nia yake ni ipi.
mugabe-
Labda kubadilisha mtindo wa nywele ni jambo ambalo limenza kuigwa na viongozi wengi wa nchi za Afrika. Rais wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, Joseph Kabila pia naye alipigwa picha akiwa na mtindo mpya wa nyele nyingi kichwani alipohudhuria mkutano wa Bunge wiki iliyopita.
Baadhi ya watu katika mitandao ya kijamii liongelea tukio hilo la marais hawa kubadili mitindo yao ya nywele.

View image on TwitterView image on Twitter
Mugabe has been going to Zuma's barber. Zuma has been going to Mugabe's governance classes. 


Surely Robert Mugabe's barber will be charged with treason or undermining the authority of the president  
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post