SERIKALI KUCHUKUA HATUA ZAIDI DHIDI YA NDOA ZA UTOTONI

SHARE:

Serikali imeendelea kuchukua hatua kwa kuendelea kutoa elimu katika Halmashauri za Wilaya, Manispaa na Miji 72 ili kuondokana na tatizo l...

Serikali imeendelea kuchukua hatua kwa kuendelea kutoa elimu katika Halmashauri za Wilaya, Manispaa na Miji 72 ili kuondokana na tatizo la ndoa za utotoni zinazobababisha watoto kukosa haki ya msingi ya kupata elimu.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsi Wazee na Watoto, Khamis Kigwangalla alipokuwa akijibu swali la Anna Malecela bungeni mjini Dodoma, amesema kuwa msisitizo utazidi kuwekwa katika utoaji wa elimu kwa familia, wazee wa mila na jamii kwa ujumla.
“Tutajikita kutoa elimu zaidi ili jamii iachane na mila na tamaduni zilizopitwa na wakati za kuoza watoto wa kike” amesema Dkt. Kigwangalla.
Ameongeza kuwa Serikali inatambua athari kubwa zinazosababishwa na ndoa za utotoni katika jamii ya watanzania na itaongeza nguvu katika kutoa elimu na kupambana na wale wote watakaojihusisha kwa namna moja au nyingine kuwanyima watoto wa kike haki yao ya kupata elimu.
Aidha kulingana na takwimu za Afya na Idadi ya Watu nchini za mwaka 2016 ndoa za utotoni zimeshamiri katika mikoa ya Shinyanga kwa asilimia 59, Tabora kwa asilimia 58, Mara kwa asilimia 55 na Dodoma kwa asilimia 51 hivyo Serikali itaendelea kupambana kutokomeza ndoa za utotoni nchini.
Kwa upande wa muundo wa kisera na kisheria, Serikali imezifanyia maboresho Sera na Sheria ili kumlinda mtoto wa kike dhidi ya ndoa na mimba za utotoni pamoja na marekebisho ya Sheria ya Elimu Sura 353 ambayo inatoa adhabu ya kifungo kisichopungua miaka 30 kwa mtu yoyote atakayempa mimba mwananfunzi wa shule ya Msingi au Sekondari.
Katika kutokomeza ndoa na mimba za utotoni Serikali itaanza utekelezaji wa Mpango Kazi wa Taifa wa kutokomeza Ukatili dhidi ya wanawake na watoto unaojumuisha Sekta zote zinazohusu wanawake na watoto kwa lengo la kutokomeza aina zote za ukatili na kupunguza mimba za utotoni kutoka asilimia 47 hadi 10 ifikapo mwaka 2020.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: SERIKALI KUCHUKUA HATUA ZAIDI DHIDI YA NDOA ZA UTOTONI
SERIKALI KUCHUKUA HATUA ZAIDI DHIDI YA NDOA ZA UTOTONI
https://3.bp.blogspot.com/-WhBekDIlnjA/WOOd_5IKNaI/AAAAAAAAZGA/re1zXvb-53IJnrY8NHDsiGKIlkgOIq8mACLcB/s1600/kigwa.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-WhBekDIlnjA/WOOd_5IKNaI/AAAAAAAAZGA/re1zXvb-53IJnrY8NHDsiGKIlkgOIq8mACLcB/s72-c/kigwa.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/04/serikali-kuchukua-hatua-zaidi-dhidi-ya.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/04/serikali-kuchukua-hatua-zaidi-dhidi-ya.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy