SERIKALI KUJENGA KITUO CHA MENEJIMENTI YA MAAFA DODOMA

SHARE:

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akichangia hoja wakati wa kujadili mak...

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akichangia hoja wakati wa kujadili makadirio ya Bajeti ya Ofisi yake kwa mwaka 2017/2018 Bungeni Dodoma Aprili 11, 2017, aliyekaa ni Naibu wake (Kazi, Ajira na Vijana), Mhe. Antony Mavunde. AWaziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezana na baadhi ya Watendaji wa Ofisi yake mara baada ya Kupitishwa kwa makadirio ya Bajeti ya ofisi yake kwa mwaka 2017/2018 Dodoma Aprili 11, 2017. A 3Ni baadhi ya Watendaji wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakiwa na nyuso za furaha mara baada ya Bajeti yao kupitishwa Bungeni Dodoma Aprili 11, 2017 katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama na wakwanza kulia ni Naibu wake Mhe. Antony Mavunde.
A 4
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Watendaji wa Ofisi yake Nje ya Ukumbi wa Bunge mara baada ya kupitishwa kwa Makadirio ya Bajeti ya Ofisi yake kwa mwaka 2017/2018 Dodoma, kushoto kwake ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. Jenista Mhagama. 

                                                         (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU -DODOMA). 
 

                                                                                          Na. Mwandishi Wetu 

Serikali imedhamiria kujenga Kituo cha Kitaifa cha Operesheni na Mawasiliano ya Dharura kitakachosaidia katika kukabiliana, kuzuia na kurejesha hali pindi maafa yanapotokea. 

Hatua hiyo ya Serikali ya kuanza kujenga kituo hicho katika eneo la Miuji mjini Dodoma inakuja huku idadi kubwa ya wakazi ikiwa inaongezeka kutokana na Wizara na baadhi ya Taasisi zake kuhamia huko. 

Hayo yameelezwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Jenista Mhagama alipokuwa akijibu hoja za wabunge wakati wa kupitisha Makaridio na matumizi ya bajeti ya ofisi yake kwa mwaka 2017/2018 mapema mwisho mwa wiki hii Bungeni Dodoma. 

“Kwa kutambua umuhimu wa kuwa na kituo hicho cha Operesheni na Mawasiliano ya Dharura, Serikali inaamini pindi kitakapokamilika kitakuwa na msaada mkubwa kitaifa katika kuokoa maisha ya watu na mali zao’’ alisisitiza Mhagama. 

Pamoja na hilo waziri alieleza tayari wadau mbalimbali wameanza kujitokeza na kuunga mkono hatua hizo ikiwemo Ubalozi wa Israel walipofanya ziara kujionea eneo husika na kuonesha nia ya kuunga mkono jitihada hizo. 

“Tayari Washirika wa Maendeleo wameshajitoa na kuonesha nia ya kusaidia ambapo walikuja na kuongea na Ofisi ya Waziri Mkuu na kutembelea eneo hilo.”Alisema waziri Mhagama. 

Aidha Ofisi ya Waziri Mkuu imeshatenga fedha na kubaini mipango ya kusaidia kutekeleza ujenzi wa kituo hicho.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: SERIKALI KUJENGA KITUO CHA MENEJIMENTI YA MAAFA DODOMA
SERIKALI KUJENGA KITUO CHA MENEJIMENTI YA MAAFA DODOMA
https://1.bp.blogspot.com/-lcgdN-Dko-E/WPCT8pFa00I/AAAAAAAAZdg/C_2WY5jM4yUI_Gh8zVIso6tZOK6c-q_uACLcB/s1600/A-1-64.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-lcgdN-Dko-E/WPCT8pFa00I/AAAAAAAAZdg/C_2WY5jM4yUI_Gh8zVIso6tZOK6c-q_uACLcB/s72-c/A-1-64.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/04/serikali-kujenga-kituo-cha-menejimenti.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/04/serikali-kujenga-kituo-cha-menejimenti.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy