SERIKALI YATANGAZA AJIRA MPYA 52,436

SHARE:

Serikali inakusudia kuajiri watumishi wapya 52,436 katika mwaka ujao wa fedha. Ajira hizo ni tofauti na zile za madaktari 258 na wataalam...

Serikali inakusudia kuajiri watumishi wapya 52,436 katika mwaka ujao wa fedha. Ajira hizo ni tofauti na zile za madaktari 258 na wataalamu wa Afya 11 waliotangazwa kuajiriwa Jumatano wiki hii baada ya kupeleka maombi na kukidhi vigezo kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa ajili ya kwenda kufanya kazi nchini kenya.
Akizungumza Bungeni jizi, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angela Kairuki, wakati alipofanya majumuisho yake kwa mwaka ujao wa fedha wa 2017/2018 alisema:
“Tunatambua umuhimu wa rasilimali watu wanaotosheleza kama nilivyoeleza wakati nasoma bajeti kuwa tulishatoa vibali 9,700 vya ajira na tayari wameshaingia kazini.”
“Namshukuru Rais kwa kuona umuhimu wa kuajiri madaktari 258 na kwamba Jumatatu wanaanza kazi rasmi”alisema.
Alisema wataenelea kuajiri kwa awamu na watahakikisha kwamba hawarudii makosa yaliyotokea ikiwamo watumishi hewa.
Pia alisema zaidi ya maofisa 1,595 waliosababisha kuwapo kwa watumishi hewa 19,708 wamechukuliwa hatua na kwamba wengine wana kesi mahakamani.
Alisema watumishi hao hewa walibainika wakati wa uhakiki katika orodha ya malipo ya mishahara, hivyo waliondolewa na kama wangeachwa wangeigharimu serikali TZS bilioni 19.8 kwa mwezi.
“Kumekuwa na malalamiko kuwa serikali hii ni ya kuhakiki tu. Naomba niwaeleze kuwa hatuwezi kukaa na watumishi bila kujua kila mmoja ana sifa zipi na weledi au anatekeleza wajibu wake kwa kiasi gani.”
“Tutaendelea na mpango huu wa uhakiki na kwamba ni endelevu na tutaendelea kufanya hivyo wala hatutishiwi na maneno ya watu”
“Kupitia uhakiki tuliofanya watumishi zaidi ya 19,708 wamebainika katika orodha ya malipo yetu ya mishahara na waliondolewa, tungewaacha wangeigharimu serikali kwa mwezi shilingi bilioni 19.8”
“Maofisa zaidi ya 1,595 wa madaraka mbalimbali walioshiriki kuwepo kwa watumishi hao hewa tumewachukulia hatua na kwamba wengine wana kesi mahakamani na tayari shilingi bilioni 9.3 zimesharudishwa hazina” alisema.
Angellah alisema Serikali ilifanya uamuzi wa uhakiki kwa nia njema na itetenga fedha ili kukamilisha mchakato wa utambuzi na uandikishaji.
Aliwataka waajiri wote nchini kuweka kipaumbele katika kuandaa umuhimu wa mafunzo kwa watumishi wao.
Alisema kwa mwaka wa fedha 2015/2016 watumishi 395 walipatiwa mafunzo nje ya nchi na katika mwaka wa fedha 2017/2018 watumishi wa umma 654 nao walipatiwa mafunzo.
“Tunayo sera ya mafunzo ambayo inasisitiza waajiri kuweka vipaumbele katika kuandaa umuhimu wa mafunzo kwa watumishi wao ambayo itazingatia mahitaji yao halisi. Kupitia ofisi yangu idara ya rasilimali watu wamekuwa wakitafuta fursa ya mafunzo nje ya nchi ili kuhakikisha watumishi wengi wanaweza kujiendeleza.”
“Natoa rai kwa waajiri kama ambavyo wanatenga fedha kwa kuzingatia masuala mbalimbali, ni vyema katika bajeti zao wayape kipaumbele mafunzo kwa watumishi wao. Tusitafute visingizio eti kwa sababu hakuna fedha”alisema.
Kwa upande wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) George Simbachawene, alisema kwa mwaka ujao wa fedha wa 2017/208, serikali imetenga bilioni 96.3 kwa ajili ya kununua dawa.
Alisema kumekuwa na upungufu wa watumishi 96,000 huku waliopo wakiwa ni 46,000.
Kuhusu madeni ya walimu, alisema madeni yote ambayo si ya mshahara wameshayalipa.
Akijibu hoja za wabunge kuhusu kuwapo migongano ya uongozi inayosababishwa na wakuu wa mikoa na wilaya alisema:
“Kwanza hao wanaotajwa wapo kwa mujibu wa sheria hivyo hakuna namna lazima waelewane”
HT @ MTANZANIA

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: SERIKALI YATANGAZA AJIRA MPYA 52,436
SERIKALI YATANGAZA AJIRA MPYA 52,436
https://2.bp.blogspot.com/-hYQBAVWqjmM/WPsZ7TJYgwI/AAAAAAAAZ1g/34lkRpz-r4AOC3X4_Wad5GORWYgQQqEqACLcB/s1600/xkairuki2-633x375.jpg.pagespeed.ic.wkziCIkx4E.webp
https://2.bp.blogspot.com/-hYQBAVWqjmM/WPsZ7TJYgwI/AAAAAAAAZ1g/34lkRpz-r4AOC3X4_Wad5GORWYgQQqEqACLcB/s72-c/xkairuki2-633x375.jpg.pagespeed.ic.wkziCIkx4E.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/04/serikali-yatangaza-ajira-mpya-52436.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/04/serikali-yatangaza-ajira-mpya-52436.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy