SHINYANGA: MUUMINI AKAMATWA AKIIBA SADAKA WAKATI WENGINE WAKISALI

SHARE:

Muumini mmmoja wa Kanisa la EAGT Jerusalem Kata ya Majengo, Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga amekamatwa na waumini wenzake kwa madai ya ...

Muumini mmmoja wa Kanisa la EAGT Jerusalem Kata ya Majengo, Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga amekamatwa na waumini wenzake kwa madai ya kuiba sadaka wakati wakiwa katika maombi.
Tukio hilo lilitokea Jumapili iliyopita Aprili 9 saa 11 jioni wakati Mchungaji Felix Gwamiye, akiongoza maombi huku waumini wakiwa wamefumba macho na mtuhumiwa huyo alijifanya anatoa sadaka na kuchota sh. 20,000 ndani ya sanduku.
Mmoja wa waumini wa kanisa hilo ambaye hakutaka jina lake kutajwa alisema licha ya muumini huyo kuondoka kiasi hicho, siku hiyo hiyo misa ya asubuhi alidakwa na Mashemasi wa kanisa hilo akichukua fedha isiyofahamika wakati alipoungana na waumini wengine kwenda kutoa sadaka, hata hivyo alisamehewa.
Mchungaji Gwamiye alithibitisha kutokea kwa tukio hilo kanisani kwake na kusema kwamba kumekuwepo na wimbi la vibaka wanaoingia ndani ya makanisa wakati maombi yakiendelea na kudokoa fedha za sadaka.
Katika tukio hilo Mchungaji Gwamiye alitoa wito kwa Makanisa ya Kipentekoste wilayani Kahama kukaa chonjo na vibaka wanaoingia makanisani na kujifanya ni waumini huku lengo lao likiwa ni kuvizia sadaka za waumini.
“Mtuhumiwa huyo alikamatwa na Mashemasi wakati walipomuona akiiba hela za sadaka baada ya kuanza maombi. Kama kiongozi wa kanisa hili nimemsamehe, lakini asithubutu kuingia katika makanisa yoyote hapa kahama maana waumini wakiamua kufunga novena ya maombi laana itamsumbua” alisema Gwamiye
Hata hivyo muumini huyo aliyejulikana kwa jina Dismas Simon mwenye umri wa miaka 35 alisema kuwa shetani ndiye aliyemtuma na kujikuta anaondoka na kiasi hicho cha fedha. Alimuahidi kiongozi huyo wa kanisa kuteua watu wa kuongozana nao kwa ndugu yake hali ambayo ilimfanya mchungaji amsamehe.
Chanzo: Nipashe

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: SHINYANGA: MUUMINI AKAMATWA AKIIBA SADAKA WAKATI WENGINE WAKISALI
SHINYANGA: MUUMINI AKAMATWA AKIIBA SADAKA WAKATI WENGINE WAKISALI
https://2.bp.blogspot.com/-PT6pryljM6c/WO9YPfQetEI/AAAAAAAAZbU/Xriz3pGtvrQXfH7BtUJbBIl2elU9fnRfQCLcB/s1600/SADAKA-670x375.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-PT6pryljM6c/WO9YPfQetEI/AAAAAAAAZbU/Xriz3pGtvrQXfH7BtUJbBIl2elU9fnRfQCLcB/s72-c/SADAKA-670x375.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/04/shinyanga-muumini-akamatwa-akiiba.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/04/shinyanga-muumini-akamatwa-akiiba.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy