SHULE YA MSINGI KIGONZILE MKOANI IRINGA YAKABIDHIWA MIFUKO YA SARUJI NA MH. RITTA KABATI

SHARE:

Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Iringa kupitia chama cha mapinduzi (CCM) Ritta Kabati akikabidhiwa msaada wa mifuko ya saruji kwa ajili ya ...

Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Iringa kupitia chama cha mapinduzi (CCM) Ritta Kabati akikabidhiwa msaada wa mifuko ya saruji kwa ajili ya ukarabati wa shule ya msingi Kigonzile na Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la bima (NIC) Tanzania Samwel Kamanga
Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la bima (NIC) Tanzania Samwel Kamanga akimkakabidhi kiasi cha Pesa mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa Ritta Kabati zilizochangwa na baadhi ya wadau walijitokeza kwenye ukarabati wa shule ya msingi Kigonzile
Baada ya kufanikiwa kukarabati shule ya msingi Azimio iliyopo Kata ya Mshindo Mbunge wa Viti Maalum kupitia chama cha mapinduzi (CCM) Ritta Kabati ameanza kukarabati shule ya msingi Kigonzile iliyopo Kata ya Nduli kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wakiwapo shirika la bima Tanzania (NIC)ambao walijitokeza kusaidia ukarabati wa shule hiyo ya Kigonzile. 

Akizungumza wakati wa kukabidhi vifaa vitakavyo tumika katika kukarabati shule hiyo Kabati alisema kuwa amuamua kufanya shughuri za kijamii ili kuifanya jamii ya watu wa Iringa kuwa na Elimu iliyobora na kuweza kuwa na kizazi ambacho kitakuwa cha kimaendeleo. 

“Mimi sipendi kuona watoto wa Iringa wanakuwa wafanyakazi wa kazi za ndani kwa watu kwenye Pesa au wafanyakazi wengi najiuliza tu kwanini ile Iringa ndio chimbuko la wafanyakazi wa kazi za ndani,nitapambana kuhakikisha Iringa inakuwa na wasomi wengi ili kupunguza utegemezi”alisema kabati 

Kabati alisema kuwa kuna shule nyingi zimehalibika hapa Manispaa ya Iringa hivyonitakikisha natafuta wafadhili mbalimbali kila kona hapa nchini na nje ya nchi ili kuhakikisha tunazikarabati shule zote ambazo chakavu. 

“Hii ni moja ya shule ambazo tayari nimeanza kuitafutia wafadhili hivyo hata shule nyingine nitahakikiaha nafanya kazi na serikali yangu ya chama cha mapinduzi (CCM) chini ya Rais wetu mpendwa Dr John Pombe Magufuli ambaye anaongoza vizuri sana ” alisema Kabati 

Aidha Kabati aliomba wananchi kufanya kazi kwa kushirikiana na viongozi kuleta maendeleo kwa kuwa wakiitegemeea serikali tu hawawezi kupiga hatua ya kimaendeleo kutoka hapa walipo na kuweza kufikia malengo ya juu kimaisha. 

Lakini Kabati aliwaomba viongozi na serikali kutafuta wahisani mbalimbali kila mahali ili kuweza kufanikisha kufikia malengo ya kimaendeleo na kuacha kuwa tegemezi. 

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la bima (NIC) Tanzania Samwel Kamanga alisema kuwa ameguswa sana na uchakavu wa shule ya msingi Kigonzile kwa hali iliyonayo hivyo licha ya kuwa amechangi zaidi ya 160 ya mifuko ya saruji kwa ajili ya ukarabati. 

“Mimi nimesoma kwenye shule kama hii na ndio sababu Leo hii nipo hapa kama Mkurugenzi hivyo Leo nimeguswa sana hii shule imeharibiaka sana na inahitaji Pesa nyingi hivyo tumetoa kiasi kidogo sana narudi makao makuu ya shirika letu nitatoa jibu kwa namna gani nitasaidia kuiboresha na kuwa kama shule nyingine za watu binafsi”alisema Kamanga 

Aidha Kamanga aliwaomba wananchi kujiunga na mfuko wa bima ya taifa ili kuepukana na kupunguza gharama wakati wa majanga kwa kuwa hujui lini utakumbana na matatizo ni vyema wananchi wakajua umuhimu wa bima ya afya ya taifa inamsaidia kimaisha. 

Nae Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela alimshukuru mbunge wa viti maalum Mkoa wa Iringa Ritta Kabati kwa jitihada zake za kuleta maendeleo katika Mkoa wa iringa kwa kufanya kazi nyingi za kijamii tofauti na wanasiasa wengine. 

“Tukiwa na wabunge kama Hawa basi nchi itapiga hatua kubwa ya kimaendeleo kwa kuwa watakuwa wachapakazi na sio waroho wa madaraka wala sio wapenda Pesa basi tutatoka hapa tulipo na kufika kule tunako staili” alisema Kasesela 

Ila Kasesela aliwaomba viongozi wa serikali na wananchi kutumia bima ya taifa ya Tanzania NIC kwa kuwa imekuwa inafanya kazi zake vizuri kuliko bima nyingine hivyo ni lazama kuitambua bima hiyo kwa kuwa ni ya uhakika tofauti na bima nyingine zilizopo hapa nchini. 

Nao baadhi ya wananchi wa Kata ya nduli mtaa wa Kigonzile waliwashuku viongozi wa serikali, shirika la bima ya taifa,diwani pamoja na Mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa Ritta Kabati kwa Juhudi kubwa za kukarabati shule hiyo ya Kigonzile kwa kuwa ilikuwa katika wakati mgumu sana.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: SHULE YA MSINGI KIGONZILE MKOANI IRINGA YAKABIDHIWA MIFUKO YA SARUJI NA MH. RITTA KABATI
SHULE YA MSINGI KIGONZILE MKOANI IRINGA YAKABIDHIWA MIFUKO YA SARUJI NA MH. RITTA KABATI
https://4.bp.blogspot.com/-sS6rlpAea3s/WOt6pUPYEmI/AAAAAAAAZTE/6gKSCEnG_f4YVlOiR8FbKKLg_GmfxcBdgCLcB/s1600/IMG_20170408_133422.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-sS6rlpAea3s/WOt6pUPYEmI/AAAAAAAAZTE/6gKSCEnG_f4YVlOiR8FbKKLg_GmfxcBdgCLcB/s72-c/IMG_20170408_133422.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/04/shule-ya-msingi-kigonzile-mkoani-iringa.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/04/shule-ya-msingi-kigonzile-mkoani-iringa.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy