SIMBACHAWENE: SERIKALI ILIAHIDI ELIMU BILA MALIPO NA SI ELIMU BURE

SHARE:

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), George Simbachawene, amefafanua suala la sera ya elimu li...

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), George Simbachawene, amefafanua suala la sera ya elimu lililoahidiwa na serikali ya awamu ya tano alipokuwa akiwasilisha bajeti ya wizara yake Bungeni mjini Dodoma.
Hii ni baada ya kuwepo kwa mgogoro baina ya wazazi/walezi na shule za serikali kuhusu uhalali wa michango wanayochangishwa pamoja na serikali kuahidi kutoa elimu bure.
Waziri Simbachawene alieleza kuwa kuna tofauti kati ya elimu bure ya msingi na elimu ya msingi bila malipo, na kuwataka wananchi kutokuacha kushiriki katika michango mbalimbali inayohusu elimu kwa kisingizio kwamba serikali imeahidi kutoa elimu bure.
“Wananchi wanakuwa wazito kujitolea hata nguvu zao katika kuchangia shughuli mbalimbali zinazohusu elimu kwa kisingizio kuwa Serikali ya Awamu ya Tano inatoa elimu msingi bure,” alisema.
Aliendelea kwa kutoa wito kwa wadau wote wa elimu, Mamlaka za serikali, asasi zisizo za kiserikali pamoja na wazazi na walezi kushiriki katika kuimarisha miundombinu itakayowawezesha wanafunzi kupata elimu katika mazingira rafiki kupitia michango mbalimbali.
“Napenda kutumia nafasi hii kuwaomba wabunge, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na viongozi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa, asasi zisizo za kiserikali, wadau wengine wa elimu, wazazi na walezi kuendelea kutoa ushirikiano ili kuhakikisha uwepo wa miundombinu muhimu ya shule kwa ajili ya wanafunzi wa elimu ya awali, msingi na sekondari,” alisema.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: SIMBACHAWENE: SERIKALI ILIAHIDI ELIMU BILA MALIPO NA SI ELIMU BURE
SIMBACHAWENE: SERIKALI ILIAHIDI ELIMU BILA MALIPO NA SI ELIMU BURE
https://3.bp.blogspot.com/-YR5ZdSrlqEI/WPnEk-L7HsI/AAAAAAAAZz4/tp-9H8YB8XA69u9zGnouPc7fKo3zoI3fACLcB/s1600/Energy-and-Minerals-minister-George-Simbachawene.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-YR5ZdSrlqEI/WPnEk-L7HsI/AAAAAAAAZz4/tp-9H8YB8XA69u9zGnouPc7fKo3zoI3fACLcB/s72-c/Energy-and-Minerals-minister-George-Simbachawene.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/04/simbachawene-serikali-iliahidi-elimu.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/04/simbachawene-serikali-iliahidi-elimu.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy