TAARIFA YA TANESCO KUHUSU KUKATIKA KWA UMEME

SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)
TAARIFA YA KUTOKEA HITILAFU MKOA WA KINONDONI KASIKAZINI
Shirika la Umeme Nchini, Mkoa wa Kinondoni Kasikazini linawajulisha wateja wake kuwa kumetokea hitilafu kwenye njia yetu ya kusambaza umeme ya TG3 iliyopelekea baadhi ya maeneo kukosa umeme
CHANZO CHA TATIZO
Nguzo iligongwa na gari alfajiri ya kuamkia leo
MAENEO YANAYOATHIRIKA
T/F YA OMEK, CONSOLATA MISSION, BUNJU BEACH, NBAA, MBWENI BLC 7, BLC 8, BLC 9, BLC 10, BLC 11 MBWENI MPIJI, T/F YA MWAPACHU, BLC 2 KWA FERUZ;
JITIHADA ZILIZOFANYIKA
Kazi inaendelea na baadhi ya maeneo yaliyokuwa yanakosa umeme yameshapata
Shirika linaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza
Imeyolewa na:
Ofisi ya Uhusiano na Huduma kwa Wateja
Kinondoni Kasikazini
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post