TAZAMA VIDEO MPYA YA JUX- UMENIKAMATA (OFFICIAL MUSIC VIDEO)

Mwanamuziki Juma Jux maarufu Jux ambaye amekuwa akifanya vizuri ndani na nje ya nchi katika muziki wa muondoko wa RnB, ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la UMENIKAMATA.
Wimbo huo ni wa mapenzi na unaelezea ni kwa kiasi gani anampenda mpenzi wake huyo, na amekamatika kwenye penzi lake. Video imetayarishwa na Hanscana kutoka Tanzania.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post