TERRY FLANAGAN AMDUNDA PETR PETROV NA KUTETEA MKANDA WAKE

Bingwa wa mkanda wa WBO uzito wa lightweight, Terry Flanagan, anatazamia kupata pambano kubwa baada ya kufanikiwa mara tano kutetea mkanda huo kwa kumdunda Petr Petrov.

Flanagan amefikisha mapambano 33 bila ya kudundwa baada ya kumdunda mpinzani wake mzaliwa wa Urusi mbele ya mashabiki wake wa mji aliozaliwa katika dimba la Manchester Arena.

Majaji watatu wa mchezo huo walimpa bondia Flanagan ushindi wa points 116-112, 120-108 na 118-110.
                             Bondia Terry Flanagan akimdunda ngumi ya kichwa Petr Petrov
          Bondia Terry Flanagan akimtupia ngumi ya kushoto Petr Petrov aliyeinama chini
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post