TETEMEKO LA ARDHI LAUKUMBA TENA MKOA WA KAGERA USIKU

Tetemeko la ardhi limeukumbuka kwa mara nyingine tena Mkoa wa Kagera ya kuzua hofu miongoni mwa wananchi kiasi cha wengine kuamua kulala nje ya nyumba zao wakihofia zinaweza kubomoka ka kuwajeruhi au wakafariki dunia.
Kwa mujibu wa wakazi wa mkoa huo wamesema kuwa tukio lilitokea saa saba za usiku wa kumakia leo.
Hofu kubwa iliyowaingia wakazi wa eneo hilo imetokana na tetemeko la awali lililoukumba mkoa huo Septembe mwaka jana lenye ukubwa wa 5.7 katika  vipimo vya Ritcher na  kusababisha vifo vya zaidi ya watu 15 na majeruhi zaidi ya 230, huku nyumba na mioundombinu mbalimbali ikiharibiwa vibaya.aHadi sasa hakuna taarifa za maafa yoyote yaliyosababishwa na tetemeko hilo.
Tutaendelea kukujuza zaidi.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post