UFARANSA KUCHAGUA RAISI LEO

SHARE:

Raundi ya kwanza ya chaguzi wa rais wa nchini Ufaransa inafanyika leo hii.  Emmanuel Macron aliyekuwa waziri wa uchumi wa nchi  hiyo ndie ...

Raundi ya kwanza ya chaguzi wa rais wa nchini Ufaransa inafanyika leo hii.  Emmanuel Macron aliyekuwa waziri wa uchumi wa nchi  hiyo ndie anayepewa nafasi ya juu ya kushinda.

Macron mwenye umri wa miaka 39  anautetea Umoja wa Ulaya. Mgombea wa  chama cha  siasa za mrengo mkali wa kulia Marine Le Pen ambaye ni mpinzani mkubwa wa Umoja wa Ulaya na anayetaka kuiondoa sarafu ya Euro nchini Ufaransa ameahidi kuitisha kura ya maoni ili watu wa Ufaransa wachague iwapo wanataka kujiondoa au kubakia  katika Umoja wa Ulaya.
Wananchi wenye haki ya kupiga kura leo wanapiga kura katika duru ya kwanza ya kumchagua rais mpya . Katika mfumo wa uchaguzi nchini humo rais anachaguliwa baada ya kufanyika duru mbili za uchaguzi.  Wagombea wakuu wanne wanawania wadhifa wa rais katika kinyang'anyiro kikali ambapo wagombea hao wanakwenda takriban sambamba.
Kwa mujibu wa uchunguzi wa maoniuliofanyika baada ya mashambulio ya kigaidi mgombea wa chama cha mrengo mkali wa kulia Marine Le Pen amezidi kusonga mbele ya mgombea anayewakilisha siasa za mrengo wa kati Emmanuel Macron.

Wakati hapo awali Macron alionekana kuwa na uwezekano wa kushinda katika duru ya kwanza kwa asilimia 24.5 ya kura  sasa amerudi nyuma kwa nusu pointi, wakati Marine Le Pen amepanda juu kwa pointi moja zaidi na kufikia asilimia 23.
Mgombea mwengine mkuu anayewakilisha siasa za kihafidhina Francois Fillon aliyewahi kuwa waziri mkuu wa Ufaransa pamoja na mgombea kutoka siasa za mrengo wa shoto Jean-Luc Melanchon pia wamerudi nyuma kwa nusu pointi.  Mashambulio ya kigaidi yaliyotokea katikati ya mji mkuu, Paris yamekifanya kinyang'anyiro cha leo kisiweze  kutabirika.
Rais wa Marekani  Donald Trump ameliambia shirika la habari la AFP kwamba huenda mashambulio hayo yakamuongezea kura kiongozi wa chama cha mrengo mkali wa kulia Marine Le Pen. Trump amesema Le Pen ni mwanasiasa imara juu ya swala la ulinzi wa mipaka ya Ufaransa.  Hata hivyo rais huyo wa Marekani ameeleza kwamba hamuungi mkono Le Pen waziwazi kabisa.
Kura za maoni zinaonyesha kwamba uchaguzi wa Ufaransa umezidi kuwa mgumu kutokana na wagombea wengine kuendelea kulipunguza pengo baina yao na wagombea wanaoongoza katika kura za maoni ,Emmanuel Macron na Marine Le Pen.  Macron alithibitisha uwezo wa kutoa hoja zilizokuwa na nguvu wakati wa mjadala wa televisheni uliofanyika tarehe 20 ya mwezi uliopita.
Hali ya wasiwasi.
Uchaguzi unaendelea katika hali ya wasiwasi juu ya usalama baada ya mashambulio yaliyotokea Alhamisi iliyopita. Mshambuliaji aliyekuwa na bunduki alimpiga risasi na kumuua polisi mmoja na kuwajeruhi wengine wawili.
Baada ya kikao cha dharura cha baraza la mawaziri waziri mkuu wa Ufaransa Bernard Cazeneuve alitangaza kwamba polisi alfu 50 na wanajeshi watalinda usalama wakati wa uchaguzi.  Waziri mkuu Cazeneuve amesema Ufaransa haitaruhusu maadili yake ya kidemokrasia yavurugwe.  Ulinzi umeimarishwa kwenye vituo vya kupigia kura nchini Ufaransa kote ambapo watu milioni 47 wanawapigia kura wagombea jumla ya 11.  Raia wa Ufaransa wanaoishi nje na wale wa majimbo ya nje walishapiga kura hapo jana.  Matokeo ya awali yanatarajiwa  baada ya vituo vya kupigia kura  kufungwa hapo saa mbili usiku kwa  saa za Ulaya ya Kati.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: UFARANSA KUCHAGUA RAISI LEO
UFARANSA KUCHAGUA RAISI LEO
https://3.bp.blogspot.com/-AgdRnujeQeQ/WPxgq52qxYI/AAAAAAAABTA/Gm5ooPdmzqcDMwkiTRIcu1aSXi3pTtSFwCLcB/s640/38298291_303.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-AgdRnujeQeQ/WPxgq52qxYI/AAAAAAAABTA/Gm5ooPdmzqcDMwkiTRIcu1aSXi3pTtSFwCLcB/s72-c/38298291_303.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/04/ufaransa-kuchagua-raisi-leo.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/04/ufaransa-kuchagua-raisi-leo.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy