VIDEO: JK ATIKISA BUNGE, WAGOMBEA CHADEMA WAZUA MVUTANO MKALI BUNGENI

JK atikisa Bunge, wabunge wamshangilia, sauti za tumekumis zatawala, Wagombea Chadema wazua mvutano mkali Bungeni, Facebook ilivyohusika mkasa wa binti aliyejitosa baharini…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Aprili 5, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWEJIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post