VIDEO: MAJOR LAZER FEAT. NICKI MINAJ & PARTYNEXTDOOR – ‘RUN UP’

Major Lazor wameamua kuja kitofauti kabisa katika video ya wimbo wao wa “Run Up” ambao wamewashirikisha Nicki Minaj na PartyNextdoor.
Ndani ya video tunaona jinsi smartphone zinavyotumiwa na watu katika maisha yetu ya kila siku, ambapo  Paul, Luc, na Martin waliamua kuileta video hiyo kwa staili ya tofauti kabisa.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post