VIDEO: WAZIRI LUKUVI AWATANGAZIA VITA WAMILIKI WA ARDHI NCHINI

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amesema kuwa wizara itawachukulia hatua za keshiria wale wote wanaomiliki ardhi lakini hawajalipa kodi ya pango la ardhi.
Waziri Lukuvi amewataka wakazi wa maeneo ya mijini, na manispaa ambao wanamilikia ardhi kienyeji kupelekea vielelezo vya umiliki wao ili waweze kupatiwa hati.
Hapa chini ni video ya Waziri Lukuvi akitoa maelezo hayo.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post