VIGOGO WA YANGA WAINUNUA MECHI YA TOTO AFRICANS NA SIMBA

SHARE:

Wakati joto la ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara likizidi kushika kasi, vigogo wa Yanga wamenunua pambano la Toto Africans dhidi ya Simba...

Wakati joto la ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara likizidi kushika kasi, vigogo wa Yanga wamenunua pambano la Toto Africans dhidi ya Simba linalotarajiwa kuwafanyika leo jioni jijini Mwanza katika uwanja wa CCM Kirumba.
Vigogo watano wa Yanga jijini Mwanza wametangaza kutoa shilingi milioni 30 kwa Toto Africans kama motisha kuhakikisha kuwa wanaifunga klabu ya Simba ili kuipunguza kasi ya ubingwa.
Kwa mujibu wa habari ya gazeti la mwananchi, Msemaji wa Toto Africans, Cuthbert Japhet alithibitisha fedha hizo kutolewa jana kama ahadi kwa wachezaji hao endapo watashinda mchezo dhidi ya Simba.
Matajiri hao ambao pia ni wanachama wa Yanga walisema kuwa timu hizo zikitoka sare, basi watapewa TZS milioni 20. Msemaji huyo alisema kuwa licha ya motisha hiyo lakini wenyewe wanahitaji alama tatu ili kujinusuru kushuka daraja.
Mchezo huo wa leo utakuwa ni wa kuvutia sana sababu Toto watahitaji kushinda kwa namna yoyote ile ili kujinusuru kushuka daraja wakati Simba wao wakihitaji ubingwa kwa nguvu zote ili kufikisha alama 64 na kujiwekea mazingira mazuri ya kutwaa ubingwa.
Simba inaongoza ligi ikiwa na alama 61 baada ya kucheza michezo 26 wakati Toto wao wapo nafasi ya 15 wakiwa na alama 25 baada ya kucheza michezo 25.
Wakati huo huo, Uwanja wa Mpira wa CCM Kirumba jijini Mwanza umepitishwa na Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), na Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kutumika katika michezo ya  kimataifa.
Ratiba ya michezo mingine leo ni;
  1. Stand United v Mtibwa Sugar
  2. Ruvu Shooting v MajiMaji FC
  3. JKT Ruvu v Azam FC
Kesho Aprili 16 kutakuwa na michezo miwili;
  1. Mbao FC v Prisons
  2. Mwadui FC v Ndanda
Kwa upande wa michezo ya kimataifa, Kombe la Shirikisho Afrika;
  1. MC Alger v Yanga SC (2:00 usiku)

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: VIGOGO WA YANGA WAINUNUA MECHI YA TOTO AFRICANS NA SIMBA
VIGOGO WA YANGA WAINUNUA MECHI YA TOTO AFRICANS NA SIMBA
https://4.bp.blogspot.com/-bKm8kGmQ514/WPH5st-6G-I/AAAAAAAAZiM/AG6LqyaLVX85Y56YjjR_CHloO_zXVg8RQCLcB/s1600/x25-3-750x375.jpg.pagespeed.ic.RRw8mxxbv-.webp
https://4.bp.blogspot.com/-bKm8kGmQ514/WPH5st-6G-I/AAAAAAAAZiM/AG6LqyaLVX85Y56YjjR_CHloO_zXVg8RQCLcB/s72-c/x25-3-750x375.jpg.pagespeed.ic.RRw8mxxbv-.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/04/vigogo-wa-yanga-wainunua-mechi-ya-toto.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/04/vigogo-wa-yanga-wainunua-mechi-ya-toto.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy