WABUNGE WACHACHAMAA, WAPINGA VIKALI MATUMIZI YA FARU FAUSTA

SHARE:

Baadhi ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wameibuka na kupinga vikali gharama za matumizi ya Faru Fausta aliyepo kat...

Baadhi ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wameibuka na kupinga vikali gharama za matumizi ya Faru Fausta aliyepo katika Hifadhi ya Ngorongoro, na kuongeza kuwa gharama hizo haziendani na uhalisia.
Mjadala huo uliibuka mara baada ya Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul (Chadema) kuuliza swali kwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe kuhusu mipango ya Serikali kwa Faru huyo.
Aidha, akijibu swali hilo, Prof. Maghembe amesema kuwa Faru huyo anatumia gharama kubwa za matunzo kwa sababu ni mzee na huwa anaugua mara kwa mara.
“Hivi sasa utafiti unafanyika kwa kumtumia Faru Fausta juu ya namna ya kuishi na wanyama wa aina hiyo ili waweze kuishi maisha marefu, ni kweli kufanya hivi ni gharama kubwa sana,”amesema Prof. Maghembe.
Gharama za matunzo ya Faru Fausta kwa mwezi ni shilingi milioni 64, kiasi ambacho kiliwashtua baadhi ya wabunge na kutaka muongozo zaidi wa kupata taarifa za kina zaidi.
Hata hivyo, kwa upande wake Mkuu wa Hifadhi ya Ngorongoro, Dkt. Fredy Manongi amesema kuwa Faru Fausta ni Mzee na ana umri wa miaka 54, hivyo alipokuwa polini alikuwa akishambuliwa na Fisi kitendo ambacho kilimsababishia vidonda vingi.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: WABUNGE WACHACHAMAA, WAPINGA VIKALI MATUMIZI YA FARU FAUSTA
WABUNGE WACHACHAMAA, WAPINGA VIKALI MATUMIZI YA FARU FAUSTA
https://1.bp.blogspot.com/-AXIlSr19TO4/WOcq5P_3FLI/AAAAAAAAZNM/BaffpXYo0Cw4m4tkUlzW6TE2_LAasSaEgCLcB/s1600/farujohn.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-AXIlSr19TO4/WOcq5P_3FLI/AAAAAAAAZNM/BaffpXYo0Cw4m4tkUlzW6TE2_LAasSaEgCLcB/s72-c/farujohn.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/04/wabunge-wachachamaa-wapinga-vikali.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/04/wabunge-wachachamaa-wapinga-vikali.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy