WACHINA WAINUNUA AC MILAN KUTOKA KWA BERLUSCONI

Wawekezaji wa China wa Rossoneri Sport Investment Lux wamekamilisha kutoa kitita cha paundi milioni 628 kuinunua AC Milan.

Klabu hiyo ya ligi ya Serie A ilikuwa ikimilikiwa na waziri mkuu wa zamani wa Italia Silvio Berlusconi tangu mwaka 1986.

Katika kipindi hicho AC Milan ilishinda makombe nane ya ligi ya Serie A, na makombe matano ya Ulaya.

Hata hivyo tangu mwaka 2011 AC Milan haijashinda ligi ya Sirie A na ilimaliza nafasi ya nane katika msimu ulioisha na kwa sasa ni ya sita katika msimamo.

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post