WAKAZI WA MBAGALA WAVUTIWA NA TAMASHA LA TAIFA MOJA CONCERT

SHARE:

Msanii wa Bongo Fleva Harmonize akitumbuiza wakati wa tamasha la Taifa Moja lililofanyika Jumapili ya Pasaka kwenye viwanja wa Mbagala Zakh...

Msanii wa Bongo Fleva Harmonize akitumbuiza wakati wa tamasha la Taifa Moja lililofanyika Jumapili ya Pasaka kwenye viwanja wa Mbagala Zakhem Jijini Dar es Salaam. Tamasha la Taifa Moja lina lengo ya kutoa elimu kwa wananchi juu ya fursa ya uhuru wa kutuma pesa bila mipaka.
Msanii wa Bongo Fleva Rich Mavoko akitumbuiza wakati wa tamasha la Taifa Moja lililofanyika Jumapili ya Pasaka kwenye viwanja wa Mbagala Zakhem Jijini Dar es Salaam. Tamasha la Taifa Moja lina lengo ya kutoa elimu kwa wananchi juu ya fursa ya uhuru wa kutuma pesa bila mipaka.
Msanii wa Hip Hop Young Killer akitumbuiza wakati wa tamasha la Taifa Moja lililofanyika Jumapili ya Pasaka kwenye viwanja wa Mbagala Zakhem Jijini Dar es Salaam. Tamasha la Taifa Moja lina lengo ya kutoa elimu kwa wananchi juu ya fursa ya uhuru wa kutuma pesa bila mipaka.

Wakazi wa maeneo ya Mbagala na viunga vyake jana jumapili walipata burundani ya aina yake iliyoongozwa na wasanii kutoka kundi la Wasafi Classic Harmonize pamoja na mwenzake Rich Mavoko. 

Tamasha hilo lilikuwa ni maalum kwa kutoa elimu kwa wananchi juu uhuru wa kutuma pesa bila mipaka ambao ni muungano wa makampuni matatu ya simu za mikononi kupitia huduma za Airtel Money, Togo Pesa na Ezypesa. 

Mbali na wasanii hao kutoka Wasafi Classic, Young Killer ambaye ni msanii wa hip hop pia alikonga nyoyo za mashabiki wake pale aliponda jukwaani akiwa ni msanii wa mwisho katika tamasha hilo.

Akiwa na kibao chake cha matatizo, msanii Harmonize alikuwa akilalizimiki kurudia kila wimbo alikuwa akiimba kwa mara tatu kutokana na maombi ya mashabiki ambao walikuwa wamejikoteza kwa wingi.

Akiongea kwenye tamasha hilo Liginiku Milinga ambaye ni Mkurugenzi wa kampuni ya Fern Tanzania ambao ndio walikuwa waratibu na waandaaji wa tamasha hilo alisema kutokana na wingi wa mashabiki waliojitokeza, elimu ya uhuru wa kutuma pesa bila mpaka kupitia kampeini ya Taifa Moja limefanikiwa. 

‘Nia ya kuandaa tamasha hili ilikuwa ni kufika Watanzania wengi. Kama mnavyoona hapa kwa siku ya leo mtakubali kuwa elimu ya uhuru wa kutuma pesa bila mipaka imefanikiwa, alisema Milinga’. 

Watanzania wengi wanapenda burundani, natoa shukrani za dhati kwa wakazi wote wa Dar es Salaam na sana sana Mbagala na viunga vyake kwa kujitokeza kwa wingi na kuja kushuhudia burundani hii licha ya kuwa na hali ya mvua, aliongeza Milinga. 

Milinga aliongeza kuwa kampeini ya Taifa Moja itaendelea nchi nzima kwa matamasha mbali mbali hili kuwafikia Watanzania na kuweza kujikomboa kiuchumi kwa kutumia vyema fursa ya uhuru wa kutuma pesa bila mipaka tofauti na hapo zamani ambapo kulikuwa na changamoto nyingi pale mtumiaji wa mtandao mmoja alikuwa anatuma pesa kwenda kwenye mtandao tofauti.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: WAKAZI WA MBAGALA WAVUTIWA NA TAMASHA LA TAIFA MOJA CONCERT
WAKAZI WA MBAGALA WAVUTIWA NA TAMASHA LA TAIFA MOJA CONCERT
https://4.bp.blogspot.com/-UcPRcZL-LtU/WPWHdQiP0AI/AAAAAAABwJU/Ery_-JJy-8074eSjP4AdsVfT7ac7ESINwCLcB/s640/AC%2B1.JPG
https://4.bp.blogspot.com/-UcPRcZL-LtU/WPWHdQiP0AI/AAAAAAABwJU/Ery_-JJy-8074eSjP4AdsVfT7ac7ESINwCLcB/s72-c/AC%2B1.JPG
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/04/wakazi-wa-mbagala-wavutiwa-na-tamasha_18.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/04/wakazi-wa-mbagala-wavutiwa-na-tamasha_18.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy