WANANCHI WALIGAWA BARAZA LA MADIWANI HALMASHAURI YA MJI WA KAHAMA

SHARE:

BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Mji wa Kahama mkoani Shinyanga, wameamuru kukamilishwa mara moja kwa ujenzi uliotumia miaka 11 kati...

BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Mji wa Kahama mkoani Shinyanga, wameamuru kukamilishwa mara moja kwa ujenzi uliotumia miaka 11 katika Shule ya Sekondari Kitwana, iliyoko Kata ya Busoka, ili kunusuru wanafunzi kutembea umbali wa kilometa 15, kufuata masomo.

Maazimio ya Baraza hilo yalifikiwa juzi, baada ya Diwani wa Kata ya Busoka, Julius Malale, kuwasilisha malalamiko ya wananchi wa Kijiji cha Kitwana  wanaohitaji kurejeshewa maeneo yao waliyoyatoa kwa ajili ya ujenzi wa shule ya sekondari Kitwana, ambao umeshindikana kukamilika.
Katika malalamiko hayo, Wananchi hao wamedai hawaoni faida ya kuyatoa maeneo hayo na kuhitaji kurejeshewa kutokana na kutokamilika ujenzi wake kwa miaka 11, huku shule nyingine zilizoanza ujenzi wake hivi karibuni zikikamilika, ilhali vijana wao wakiendelea kuteseka kutembea umbali zaidi ya kilometa 15 kufuata shule katika kata jirani.

“…kuna shule zilizoanza ujenzi na Kitwana zimekamilika na kuanza kutumika zingine ujenzi wake umeanza hivi karibuni nazo zinafanya kazi,sasa wana kijiji hao waliotoa maeneo hayo wanadai leo ni miaka 11, imeshindikana kumaliza ujenzi huo wa sekondari, warejeshewe maeneo yao kwani hayana tija tena kwa elimu,” alisema Malale.
Kwa upande wake Diwani wa Kata ya Kahama mjini, Hamidu Kapama, aliliambia baraza hilo kuwa kutokamilika kwa ujenzi wa sekondari hiyo ni uzembe uliosababishwa na halmashauri kupitia afisa elimu sekondari kwa kuwa serikali imekuwa ikiongea bila utekelezaji suala ambalo linawakatisha tamaa wananchi.

Akijibu malalamiko hayo Afisa elimu Sekondari, Anastazia Manumbu, aliliambia baraza hilo kuwa bado halmashauri inaendelea na mchakato wa ukamilishaji wa sekondari hiyo kwa kubainisha kwamba kwa kipindi hiki wanaendelea na ujenzi wa vyoo na nyumba ya mwalimu.
Hata hivyo Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Kahama, Abel Shija, alihitimisha mjadala na kuungwa mkono na madiwani wote kwa kumtaka Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo, Kapami, kuhakikisha Sekondari hiyo inakamilika mapema iwezekanavyo kwa kutumia mafungu ya dharura iwapo kama haikupangiwa bajeti.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: WANANCHI WALIGAWA BARAZA LA MADIWANI HALMASHAURI YA MJI WA KAHAMA
WANANCHI WALIGAWA BARAZA LA MADIWANI HALMASHAURI YA MJI WA KAHAMA
https://3.bp.blogspot.com/-EkeRHtnM3DY/WPX0FNZ52NI/AAAAAAAAZsY/FwYLY3oOhrMRfSzDFU6D2kKjs5qSHJCdwCLcB/s1600/x5-3-750x375.png.pagespeed.ic.Sv3rxVAXv6.webp
https://3.bp.blogspot.com/-EkeRHtnM3DY/WPX0FNZ52NI/AAAAAAAAZsY/FwYLY3oOhrMRfSzDFU6D2kKjs5qSHJCdwCLcB/s72-c/x5-3-750x375.png.pagespeed.ic.Sv3rxVAXv6.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/04/wananchi-waligawa-baraza-la-madiwani.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/04/wananchi-waligawa-baraza-la-madiwani.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy