WAZIRI MKUU AUNGANA NA WABUNGE KUUAGA MWILI WA DKT. ELLY

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitoa heshima za Mwisho katika jeneza la Marehemu Mheshimiwa Dr Elly Marko Macha Mbunge wa Viti maalumu Chadema ambaye mwili wake ulifikishwa katika viwanja vya Bunge Mjini Dodoma kwa ajili ya Bunge kuaga 21/Apr/2017 Dr Macha alifariki akiwa katika matibabu Nchini Uingereza Picha na PMO
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitoa salamu za Serekali katika Viwanja vya Bunge Mjini Dodoma 21/Apr/2017 wakati wa shughuli ya kuaga Mwili wa Maerehemu Mheshimiwa Dr Elly Marko Macha ambaye alifariki Nchini Uingereza alipokuwa katika matibabu. Picha na PMO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa mkono wa pole Glory Haika Peter (24) ambaye ni Mtoto wa Maerehemu Mheshimiwa Dr Ell Macha Mbunge viti Maalumu Chadema ,Wakati wakusindikiza Mwili wa marehemu katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma 21/Apr/2017. Picha na PMO
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post