WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASHIRIKI KUMBUKUMBU YA KARUME KISIWANI ZANZIBAR

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mama Fatma Karume Mke wa Hayati Raisi wa kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Shekh Amani Abeid Karume , Baada ya Duwa ya Siku ya Karume iliyofanyika 7 April 7, 2017 katika Viwanja vya Afisi za CCM Kisiwandui Unguja Zanzibar katikati ni Makamu wa Raisi Samia Suluhu.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Raisi Mstaafu wa awamu ya pili Alhaji Hassan Mwinyi , Baada ya Duwa ya Siku ya Karume iliyofanyika 7 April 7, 2017 katika Viwanja vya Afisi za CCM Kisiwandui Unguja Zanzibar Katikati ni Makamu wa Raisi Mstaafu Dr Gharibu Bilali. Picha na PMO.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post