YANGA WAMJIBU WAZIRI MWAKYEMBE KWA KUTOPELEKEA TIMU DODOMA

SHARE:

Kumekuwa na mkanganyiko wa habari na upotoshwaji wa taarifa, ambazo si sahihi kuhusiana na Yanga kuchezesha kikosi cha pili hapo jana dhi...

Kumekuwa na mkanganyiko wa habari na upotoshwaji wa taarifa, ambazo si sahihi kuhusiana na Yanga kuchezesha kikosi cha pili hapo jana dhidi ya kombainia ya majeshi katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.
Naomba kuliweka jambo hili wazi na kuondoa sintofahamu zisizo na msingi na pengine kufunga mjadala huu rasmi.
1.Mwisho wa wiki ya tarehe 22 na 23 ,na ya 28 hadi 30 TFF walitupa ratiba ambayo inaonyesha hakuna mchezo wowote local league, au FA Cup. Na ratiba yetu ilionyesha tutacheza tarehe 22 FA Cup dhidi ya Prisons tu kwa kuwa ni kiporo, na ukiangalia ni wiki ya pili sasa ligi haichezwi kutokana na ratiba ya chan yaani mashindano ya kimataifa ya CAF kwa timu za taifa kwa wachezaji wa ndani
2.Baada ya kupata ratiba ya mapumziko ya wiki mbili bila michezo ya ushindani, kama viongozi tukaona si busara wachezaji wakae bila michezo ya kujipima nguvu ili kuendelea kujijenga kuwa katika ushindani muda wote.
Tukaona wiki mbili ni nyingi mno bora tupate michezo ya kujipima nguvu yaani mechi za kirafiki katika majuma haya mawili. Tulipokea barua kutoka Arusha tucheze mechi mbili tarehe 29 na 30 dhidi ya madini na AFC, tukakubaliana nao pia tutaenda huko.
Tukapokea barua ya Dodoma tucheze tarehe 26 tukakubali pia.
Sasa tatizo limekuja kwa TFF kufanya droo tarehe 23 ,na kututaka tucheze tarehe 30 nusu fainali ya FA cup ratiba ambayo haikuwepo kabla ya hapo, sisi tulikubali kucheza michezo hiyo tukijua hakuna mashindano yoyote ndani ya tarehe hizo.
3.Nakiri kabisa kuwa tatizo limesababishwa na ratiba zisizoeleweka za TFF tusingefika hapo, kama ratiba ya TFF ingekuwa si kukurupuka tusingefika hapo leo.
Tumecheza mechi ya kiporo na Prisons tukashinda huku tukiwa na majeruhi wanane key players.
Vicent Bossou
Donald Ngoma
Haruna Niyonzima
Juma Abdul
Malimi Busungu
Ally Mustapha
Anthony Mateo
Deus Kaseke
Siku ya pili ratiba inatoka tucheze nusu fainali, narudia tena nusu fainali tucheze ndani ya siku saba.
Kwa vyovyote vile hata ingekuwa vipi, kwa kikosi tegemezi cha wachezaji 18 tu, kukichukua na kwenda kukipiganisha katika michezo miwili mfululizo ambao mmoja hauna tija kabisa tena michezo hiyo ipishane kwa siku tatu tu, hii haijawahi fanywa na timu yoyote duniani.
4.Kwa kuliona hilo na kwa mapenzi ya dhati kabisa kutoka mioyoni mwetu viongozi dhidi ya wapenda mpira wote wa mkoa wa Dodoma na maeneo ya jirani,viongozi kwa pamoja sote tulitafakari tukasema kheri ya nusu shari kuliko shari yenyewe.
Kwa pamoja tukahamua kupeleka timu ya kikosi cha pili wakichanganyika na wale wa kikosi cha kwanza ambao hawajatumika muda mrefu waungane na vijana hao kwenda kuwapa burudani wananchi wa kanda ya kati Dodoma.
5.Nashukuru timu ikiongozwa na mimi mjumbe Mkemi, mjumbe Hashimu na mjumbe Siza imefika salama na bado ipo salama salmin na jana imeonyesha kiwango cha juu kabisa na wale waliokuwa hawaamini waliacha viti vyao na kushangilia soka safi na maridadi la vijana wa Yanga.
Mpaka nikawatania vijana ni hali hii wangekuja baba zao ndiyo msingekaa vitini muda wote.
Kwa machache ni hayo ila na peleka pongezi kwa benchi la ufundi la Yanga B chini ya kocha Shadrack Msajigwa kwa kiwango bora kabisa cha timu yake amewapika vizuri hakika hiki ni kikosi hazina maridhawa ya Yanga hapo baadae.
Nitakuwa mchoyo wa fadhila kwa Pato Ngonyani alikuwa Captain jana kiwango kizuri hakika anarudi sasa.
Yote katika mwisho pongezi kubwa, nzuri sifa kedekedee kwa Yusuf Mhilu mfungaji bao la kusawazisha dhidi ya majeshi, siyo sifa hizi kwa ajili ya goli tu la hasha hakuna aliyekaa bila kutoa yowe la furaha kila aliposhika mpira, huyu ni Messi wa Tanzania kwa vizazi vipya vya mpira Tanzania.
Mwisho kabisa naliomba Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), liwe linatoa kalenda au ratiba ambazo baadae hazitaleta mitafaruku kama hii hapo baadae .
Yanga oyeee
Daima mbele
Nyuma mwiko

Salum Mkemi
Mjumbe kamati ya utendaji Yanga.
Msimamizi mkuu wa Idara Ya Habari Na Mawasiliano Yanga.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: YANGA WAMJIBU WAZIRI MWAKYEMBE KWA KUTOPELEKEA TIMU DODOMA
YANGA WAMJIBU WAZIRI MWAKYEMBE KWA KUTOPELEKEA TIMU DODOMA
https://1.bp.blogspot.com/-t7BdogDXPxo/WQJoYsMTCLI/AAAAAAAAaMQ/2_Crzg7n6goFLeCZnMRc_ZciwoxE5ABjwCLcB/s1600/xYanga-line-latest1-750x375.jpg.pagespeed.ic.RUBp53W-An.webp
https://1.bp.blogspot.com/-t7BdogDXPxo/WQJoYsMTCLI/AAAAAAAAaMQ/2_Crzg7n6goFLeCZnMRc_ZciwoxE5ABjwCLcB/s72-c/xYanga-line-latest1-750x375.jpg.pagespeed.ic.RUBp53W-An.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/04/yanga-wamjibu-waziri-mwakyembe-kwa.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/04/yanga-wamjibu-waziri-mwakyembe-kwa.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy